Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)


 
Ni nzuri kama ni ya kweli. Wengine husema ni malipo baada ila ukiwafuata mfanye biashara anakuambia ni malipo kabla.
Hapana! Kuna jamaa yangu anatumia hii, awali nilikua nadhani ni gharama sana ila nimekuja kugundua ni nafuu sana ukilinganisha na matumizi ya kununua vifurushi kila siku

Ni kama matumizi ya mkaa na gesi, kikawaida utaona mkaa ni nafuu kuliko gas ila kiuhalisia gesi ndio nafuu, mkaa utatumia kiasi gani kwa mwezi na gesi unatumiaje kwa mwezi, utanunua kila siku mkaa wa elfu2 au 3 ambapo kwa mwezi ni kama elfu60 mpaka 90 ila gesi utanunua ya kiasi gani kwa mwezi!

Nikinunua kifurushi cha airtime tu labda cha 1000 kwa wiki, ujue kuna week kama nne4 utoboe mwezi hivyo ni wastani wa elfu4 ila ki uhalisia utatumia zaidi ya kiwango hicho chini kabisa, maana kuna muda kifurushi hicho hakitoboi week hivyo kwa week utakua umenunua kama viwili au vitatu ndio week iishe, hapo na week zinazokuja ni hivyo hivyo, hapo ukijumlisha na 2000 kwa MB950 kwa week data only use, ambapo utakua unaweka kwa mfanano huo wa airtime only, maana nacho hakitoboi week, tena hiki kifurushi cha data only unaweza ukaweka hata zaidi ya vitatu kwa week, hivyo ni gharama sana ukilinganisha na vifurushi hivyo vya malipo ya baada.
 
kwanza
mkuu chagua kiasi cha data unacho hitaji kwa mwezi mzima Kisha nikupe gharama zake na uweze kujiunga
Endapo nitalipia kwa gharama hizo
kwanza
mkuu chagua kiasi cha data unacho hitaji kwa mwezi mzima Kisha nikupe gharama zake na uweze kujiunga
Baada ya kulipia gharama zake, je matumizi ni hadi mwezi uishe au kinaweza kuisha kabla ya mwezi? nishibishe.
 
Endapo nitalipia kwa gharama hizo

Baada ya kulipia gharama zake, je matumizi ni hadi mwezi uishe au kinaweza kuisha kabla ya mwezi? nishibishe.
kifurushi hichi nikama vifurushi vingine kinauwezakano wa kuisha kutokana na matumizi yako mfano umechukua kifurushi cha GB30 alafu matumizi yako ni GB10 Kwa siku lazima kitaisha ndan ya siku 3 ila kama zitakuwepo mpk tarehe 30 ya mwezi husika basi zita expai
 
Hakuna jipya
 
Kuna mtu alinambia inatakiwa na lesen ya biashara
Nikaitema
ni kweli kabisa wanahitaji tin number ya biashara, leseni ya biashara pamoja na nida, haya majibu nilipewa ofisi za tigo na nikathibitisha kupitia huduma kwa wateja.
 
ni kweli kabisa wanahitaji tin number ya biashara, leseni ya biashara pamoja na nida, haya majibu nilipewa ofisi za tigo na nikathibitisha kupitia huduma kwa wateja.
Asanteh mkuu kwa kunisaidia kujibu
 
Asante mkuu umemjibu vema kabisa na hili ndio lengo la kuanzishwa tigo Postpaid ili usitumie kifurushi cha week kwa siku au ha mwezi kwa week
 
sijakusaidia kujibu ila nawataadharisha hao unaowaambia bila leseni ya biashara inawezekana wasije kupiga ukunga huku, maana tigo wenyewe wanasema vigezo na masharti kuzingatiwa.
Sawa mkuu ni mtazamo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…