Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

sijakusaidia kujibu ila nawataadharisha hao unaowaambia bila leseni ya biashara inawezekana wasije kupiga ukunga huku, maana tigo wenyewe wanasema vigezo na masharti kuzingatiwa.
Wao Tigo wameweka vigezo vyao ila yeye mtu wa chini anakiuka utaratibu wa mwajiri wake na kuamua kupunguza baadhi ya hivyo vigezo. Hii imekaaje?
 
Wao Tigo wameweka vigezo vyao ila yeye mtu wa chini anakiuka utaratibu wa mwajiri wake na kuamua kupunguza baadhi ya hivyo vigezo. Hii imekaaje?
hii ipo simple tu just LEAVE IT OR DO IT mkuu
 
Aloo
Good for you.
Voda mbwaa
Elf 35 gb 12 na dk 1000
tar 8 jana jmos asbh gb zikaisha.. nikaweka tena za 10k. Ndo natembelea nazo sahii
Tafta Pesa Vodacom hawana gharama kweny bandle

Afu speed yao ni yakimondo

Tafta pesa uunge Unlimited data achana na mambo ya GB
 
Ni nzuri kama ni ya kweli. Wengine husema ni malipo baada ila ukiwafuata mfanye biashara anakuambia ni malipo kabla.
Malipo ni baada mm nina tigo na voda zote nalipia maad ya matumizi
 
... lengo la kuanzishwa tigo Postpaid ili usitumie kifurushi cha week kwa siku au ha mwezi kwa week
Acha uongo.

Mfano mtu kajiunga hiyo package ya GB35 halafu ndani ya week akamaliza GB zote, unadhani ataendelea kupata Internet?
 
Tafta Pesa Vodacom hawana gharama kweny bandle

Afu speed yao ni yakimondo

Tafta pesa uunge Unlimited data achana na mambo ya GB
Unajichanganya mwenyewe.

Unasema atafute pesa...

Halafu hapo hapo unasema Voda hawana gharama.

What the hell blo!!
 
Na hii ndiyo lugha yako ya customer care kwa possible customers wako?
mkuu huwezi nifundisha kazi nafanya sales and marketing mwaka 8 unataka good costumer care just follow the rules other wise huwezi nielewa waulize niliowahudumia coz niko hapa kuhudumia mwenye uhitajisio mwenye negative mind anytime be a costumer care not easy as you think mkuu ulitaka nimwambie jibu lipi kama anaona njia nayo tumia sio sahihi it better akafanya yake sio kuja na negative
 
Back
Top Bottom