Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Wao Tigo wameweka vigezo vyao ila yeye mtu wa chini anakiuka utaratibu wa mwajiri wake na kuamua kupunguza baadhi ya hivyo vigezo. Hii imekaaje?sijakusaidia kujibu ila nawataadharisha hao unaowaambia bila leseni ya biashara inawezekana wasije kupiga ukunga huku, maana tigo wenyewe wanasema vigezo na masharti kuzingatiwa.