kama umemaliza shahada ya elimu na ujagradute usitegee ajira mpya

kama umemaliza shahada ya elimu na ujagradute usitegee ajira mpya

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
kama ulikuwa na tatizo lolote sup nk na haukugraduate ukwelu ni kwamba ajira hizi mpya mwaka huu wamebana wale wenye sup sijui nini hawapo andaa kuopokea maumivu.
 
kama ulikuwa na tatizo lolote sup nk na haukugraduate ukwelu ni kwamba ajira hizi mpya mwaka huu wamebana wale wenye sup sijui nini hawapo andaa kuopokea maumivu.

Ajira yenyewe mshahara kama posho
 
acha kupotosha uma wewe ni kama nani mpaka unatoa tamko
 
Kwi kwí kwì teh teh teh ha ha haaaaa #mpgamsuli bwana eti mshahara kama posho acha ktwadharau walimu wetu ndo maisha yao hayo!
 
Na watoto wakifeli tufurahi maana tunawapa waalimu posho na sio mshahara.
 
Sijui hata hao waliokuelewa wamekuelewa vip ... mm ndo kabisaaa sinakuelewa ..
(ukweli ni kwamba mtu kama huyo hawezi pata full employement so ni kitu kipo hakihitaji maelezo yako )

2. Kama unamaanisha mtu aliyegraduate lakini kabla ya kugraduate semister ya mwisho alikua na SUP ndio hawatapata ajira ,jua unapoyesha au mmekubaliana na wizara ya ajira inayosimamia familka yenu ..otherwise toa Chanzo .

Ukisema mtu kamaliza na hajagraduate ...ina maana huyu mtu yupo under probation na anangoja kufanua mtihani ,hata cheti hana .. sasa unamuhusisha vip na full employement ?

2.hajira hizi mpya kwenye sector gani . ..acha kuandika kitu kama kila mtu anajua u achokiongelea .
 
kama ulikuwa na tatizo lolote sup nk na haukugraduate ukwelu ni kwamba ajira hizi mpya mwaka huu wamebana wale wenye sup sijui nini hawapo andaa kuopokea maumivu.[/QU

sasa kama umefelii then.....uwe teacher

rudi chuo usapuee then next year ndo uajiriweee
 
Ajira yenyewe mshahara kama posho

sizitaki mbichi hizi wiv wa nini mtoto wa kiume?? Tabia za kike hizo bana,na je wanao lipwa elfu 80 na wapo sekta binafsi unawaongeleaje?? Watu wa tabia kama yapo mafanikio mtayasikia kwenye ndoto sababu kutwa kucha kudharau ya wenzio, unaweza ukawa unaona hufanikiwi kumbe mafanikio yako unayaziba kwa kinywa chako.huenda unatafuta kuwa furahisha watu humu bt scan youe mouth before mkuu.
 
Ajira yenyewe mshahara kama posho

sizitaki mbichi hizi, wivu wa nini mtoto wa kiume?? Tabia za kike hizo bana,na je wanao lipwa elfu 80 kwa mwezi na wapo sekta binafsi unawaongeleaje?? Watu wa tabia kama yapo mafanikio mtayasikia kwenye ndoto sababu kutwa kucha kudharau ya wenzio, unaweza ukawa unaona hufanikiwi kumbe mafanikio yako unayaziba kwa kinywa chako.huenda unatafuta kuwa furahisha watu humu bt scan your mouth before mkuu kama unataka sifa hapa jf ni kweli watakusifia hafu...!!!? Msijitie mikosi kwa vinywa vyenu huenda mshahara huohuo ndio alio kusomeshea babaako pamoja na kwamba bado hujaelimika.
 
hukumuelewa tu ..

Ila nilivyomuelewa anajaribu kuonyesha ni jinsi gani graduate hana maana kwa sasa kwnye swala la ajira .
Degree ni burre ,unasoma kwa taabu unakuja kupata mshahara wa Laki tano kwa mwezi ,itakua ina maana gani ...hapo unaendelea kuitesekea kampuni na kitajirisha wenye nayo .

Kuita mshahara kama Posho ,ni halali , hakuna haki na usawa kabisa kwnye salari , kuna mtu analipwa 3.5million per month... acha mbali posho ..na kuna mtu analipwa laki 3 kwa mwezi ..na wote wana level moja ya elimu .. sasa kama hiyo laki tatu si posho ni nn ..ikizingatia kipimo hicho ..
 
sizitaki mbichi hizi, wivu wa nini mtoto wa kiume?? Tabia za kike hizo bana,na je wanao lipwa elfu 80 kwa mwezi na wapo sekta binafsi unawaongeleaje?? Watu wa tabia kama yapo mafanikio mtayasikia kwenye ndoto sababu kutwa kucha kudharau ya wenzio, unaweza ukawa unaona hufanikiwi kumbe mafanikio yako unayaziba kwa kinywa chako.huenda unatafuta kuwa furahisha watu humu bt scan your mouth before mkuu kama unataka sifa hapa jf ni kweli watakusifia hafu...!!!? Msijitie mikosi kwa vinywa vyenu huenda mshahara huohuo ndio alio kusomeshea babaako pamoja na kwamba bado hujaelimika.

Kumbe siku nyingine una akili...
 
Back
Top Bottom