Zitaje mkuu hizo businessKwaiyo mkuu unawekeza M10 ili upate M7 kwa mwaka..hahaha....Halafu unasahau kitu..iyo M7 unayoipigia hesabu apo ki kama Bajaji itafanya kazi mwaka mzima bila ya kupumzika ata siku moja...kumbuka Kuna hesabu za service na garama zingine za uendeshaji kama Kodi za TRA,Insuarence saivi hadi zimamoto wanawataka mabajaji wawe na mitung ya kuzima moto kwa dharula..kiukweli mleta mada yuko sahihi sana..kuwekeza M10 kwa faid isiyo zid M6 kwa mwaka huo ni uvivu wa kufikilia..
Kuna biashara ambazo ukiingiza hiyo M10 kwa mwaka na ukawa unasimamia iyo biashara kikamilifu ndan ya mwaka unaweza ukatengeneza faida ata ya M15..
Mimba inakupeleka puta,pole bidadaHuna akili ,fala wewe
Ila wanasema hardware ina faida kubwa sanaNi biashara ya kifala kweli, ila biashara nyingi faida yake ni ndogo pia cha msingi ni mzunguko wa fedha usiende mbali na wewe.
unaijua biashara ya hardware hii ni manyoko usipouza stock kubwa kwa mwezi mmoja tu
Kuna faza comments za juu kule et kaleta hesabu za kuzidisha sijui 20*365
Ahahahahha kuna watu nikisema kichwani wana maji ya mchele mnakataaa 😄😄😄😄😄😄
Hapo kakosea wapi, fafanua tafadhaliKuna faza comments za juu kule et kaleta hesabu za kuzidisha sijui 20*365
Ahahahahha kuna watu nikisema kichwani wana maji ya mchele mnakataaa 😄😄😄😄😄😄
Wee unaona yupo sawaHapo kakosea wapi, fafanua tafadhali
Wewe ukiwa na 10M utafanya biashara gani?Mii siwezi fanya uwo mchezo mkuu Yan kwa m10 alafu alete shingap sijui..
Mara jamaa aanze kuzidisha sijui ngapi mara ngapi aaaaaaaah weeeeh hapana mkuu siwezi ,🙌🙌🙌🙌
Laki tano kwa bajaji zote 3 kwa mwezi au kwa bajaji moja?Nina bajaj 3, hakuna laki 6 kwa mwezi, haipo!!!!
Nikipata sana kwa mwezi ni laki 5
Asante sana kwa swali lako zuri mkuu..Wewe ukiwa na 10M utafanya biashara gani?
Ila watu mnawaza mbali! 😀😀😀😂😂Ikipita miez kadhaa unakuta kaomba likizo ya dharura ofisini ukiuliza anafatilia kesi yake na dereva wa bajaji.. kisa anamchakachua
milioni kumi kwa sasa unafanya biashara gani sasa ? ,labda ufungue genge
milioni kumi kwa sasa unafanya biashara gani sasa ? ,labda ufungue genge
milioni kumi kwa sasa unafanya biashara gani sasa ? ,labda ufungue genge
milioni kumi kwa sasa unafanya biashara gani sasa ? ,labda ufungue genge
Mbona Bajaj zimejaa tele barabarani,au ni za majini😂
Anti Dorry akikuibia Kila siku elfu ishirini hautafilisika boss?Asante sana kwa swali lako zuri mkuu..
Kwanza tatoa mil 5 tampa antiel dorry atafanya biashara ya cosmetic hapa mtaani kwentu..
Mil 5 inayobaki nawekeza katika biashara ya film na camera accessories an nakua natafuta vijana wa kazi wa kutumia hvo vtu na kuanza kutafuta connection za mashughuli mbali mbali
Antiel dorry sio mwizi mkuu labda huyu mtoto swaumuAnti Dorry akikuibia Kila siku elfu ishirini hautafilisika boss?
Kwamba unataka apate hiyo 10M kwa muda gani? Ili iwe na tija na asionekane kichwa?Hesabu we huoni hapo million 10 na 20k Kwa siku ni mbingu na ardhi halafu biashara yenyewe bajaji
Uwekazaji unahitaji mtani mkuu,ukiogopa hayo hutafika!Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Kumbuka wengine wanazitoa Kwa mkataba. Hii kitu Mimi siweziWanakuwa wamepiga mahesabu haya
View attachment 3173288
Kwa siku 500 wanakuwa wamerudisha hela yao. Siku 500 ni sawa na mwaka mmoja na miezi mitano hivi.
Kwa hiyo baada ya kipindi hicho kupita ndio anaanza kuhesabu faida.
Mkuu tupe mrejesho hali ikoje baada ya kuingia kwenye game?Kwa maoni yangu kumpa mnyoa kiduku(virasta) bajaji ya milion 10 kwa rejesho la 20k per day ni uongo nazani wamiliki wa bajaji wangewaiga MO FINANCE na WATU rejesho per day 25k hadi 30k inategemea na kianzio na bado kuna kianzio ndio kitaamua rejesho lako vijana wanazigombania mno
Hii biashara ina pesa kama utaamua kuingia mwenyewe barabarani pesa utaiona haswaa. Mimi pia natarajia kuingia kwenye hii biashara maana nimeshamaliza process zote na bank ya CRDB bado kukabiziwa chombo changu
Bank wana mikataba mizuri na rejesho nafuu mimi nikipata chombo natakiwa nirejeshe 17k per day na dereva ni mimi mwenyewe kwa sasa nimechukua likizo ya miezi miwili kazini nataka nijaribu upande wa bajaji na pia ninampango wa kuomba miezi miwili tena bila malipo nazani kwa miezi 4 nitapata picha halisi kati ya biashara ya bajaji na kazi ninayofanya kipi ni bora
Tusikatishane tamaa kwa kusema biashara ya bajaji hailipi changamoto zipo kwa kila biashara sema wengi tunapenda umwinyi umenunua bajaji unamkabizi kiduku (virasta) bila kujua changamoto ya biashara kwa undani hapo shida ipo
Mkuu hapo mkataba unakua wa muda gani?Ni bora hata boda ya milion 3 ukiletewa 10k per day sio mbaya, itachukua muda mfupi kurudisha bei ya kununulia chombo plus costs zozote ulizoingiliwa kufanya chombo kiwe road(insurance, nenda kwa usalama kama zipo etc) kuliko kuwa ba bajaji worth 10000k