Kama umenunua Bajaji ya Milioni 20 ili upewe 20k kwa siku basi unafanya biashara kichaa

Habari, Naitwa omary kassim naishi Dar, Buza ni dereva wa mtandaoni naendesha gari na Bajaji pia kwa sasa sina kazi.Kama kuna boss atahitaji tufanye kazi tuwasiliane 0654037276.Uwaminifu 100%
 
Habari, Naitwa omary kassim naishi Dar, Buza ni dereva wa mtandaoni naendesha gari na Bajaji pia kwa sasa sina kazi.Kama kuna boss atahitaji tufanye kazi tuwasiliane 0654037276.Uwaminifu 100%
Unaishi buza sehemu gani mkuu
 
tatizo ujuaji
1.bajaji ziko ngapi nchini,na bado watu wananunua
2.yaani wamiliki wote wa bajaji duniani ni wajinga isipokua nyie watu 150 humu jf mna akili??is it?
3.woga ndo umaskini,kama kina bakresa walianza na ice cream why usijue kua hela ya bajaji mfani 5m unaweza kufanyia biashara ingine huku bajaji ikizidi kukuingizia hela zingine???mawazo yenu ni kua hela mkipata za bajaji mnaweka kwenye kibuyu hamzalishi tena.mtoa mada ana hasira sana na wenye bajaji kuna kitu cha ziada sio bure
4.bajaji inakaa miaka mingapi?
 
Mabasi yote faida kubwa inapatikana kupitia parcels, anaweza asipakie abiria kujaza ila hakosi ya mafuta.
Parcels zinawabeba
Na anaenunua bus jipya na kumkabidhi mtu ambae atamletea kiasi fulani cha pesa kwa siku imekaaje? Angalia gharama ya bus na kiasi cha pesa kwa siku!
 
Ni biashara ya kifala kweli, ila biashara nyingi faida yake ni ndogo pia cha msingi ni mzunguko wa fedha usiende mbali na wewe.
unaijua biashara ya hardware hii ni manyoko usipouza stock kubwa kwa mwezi mmoja tu
Biashara ya hardware ipoje
 
Hardware vp ina nini?
Ni biashara ya kifala kweli, ila biashara nyingi faida yake ni ndogo pia cha msingi ni mzunguko wa fedha usiende mbali na wewe.
unaijua biashara ya hardware hii ni manyoko usipouza stock kubw
 
Wanakuwa wamepiga mahesabu haya
View attachment 3173288

Kwa siku 500 wanakuwa wamerudisha hela yao. Siku 500 ni sawa na mwaka mmoja na miezi mitano hivi.

Kwa hiyo baada ya kipindi hicho kupita ndio anaanza kuhesabu faida.
Kwa hiyo umetoa 10m siku moja then urejeshewe in 500 days kama ilivyo?
Hakuna hata faida kiduchu?
 
Kuna jamaa yangu aliuza kiwanja kanunua bodaboda mpya mbili kazikodisha zimletee hesabu! Ndani ya miezi mitatu ziko hoi taabani kazipaki!
Siwezi uza kiwanja nikanunua pikipiki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na ukichukua ya mkopo lazima upeleke na milioni mbili au moja.
 
Wewe umejua cha kusema sasa na huwa iko ivo, biashara nyingi pasua kichwa au ukikuta iliyonyooka faida ni kiduchu na ukuaji wake wa pole pole.
 
Mwanangu mimi nafanya hiyo kusema ukweli kutunza hela sio rahisi Yan kwa ajili ya kula afu spea utaomba pooh sio poa Yan ni hatari engine inadai Kila mara
Unakazi ya kubadili ring piston za block na valve πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’
 
N bora utafute haic kwa ml 10 kwa siku ikuletee ata 35000 kama sio 50 hata kama itapak kifuru au kibeberu uko ndan ndan
Haice ya milioni 10 kwanza iyo kichaka, alafu spare zilivo ghali.
Hiace milioni 10 engine hakuna kitu
Andaa piston ring
Valve
Capreta
Timing chain
Clutch center na plate zake
Miguu yote na spare zake mabrake shoe, drum zake....n.k

Alafu nauli ni hizi jero jero 35,000 kwa siku hupati.
Hiace iwe mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…