Kati ya hao wanaume na wewe, nani mwenye akili? Endelea kukaza fuvu.
Na hizo ndiyo ndoa sasa! Kila mwanaume hapo kamzidi mkewe kwa miaka 46+.
Unaishi na mwanamke kachakaa kibayolojia na kapoteza kila kitu kabakiza GUBU tu! Halafu unajisifia; Ooh! Mimi nilioa classmate wangu!
Mxiuuuu!