Kama umeoa mwanamke ambaye hujamzidi miaka 25+, UMEPIGWA!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343









Kati ya hao wanaume na wewe, nani mwenye akili? Endelea kukaza fuvu.

Na hizo ndiyo ndoa sasa! Kila mwanaume hapo kamzidi mkewe kwa miaka 46+.

Unaishi na mwanamke kachakaa kibayolojia na kapoteza kila kitu kabakiza GUBU tu! Halafu unajisifia; Ooh! Mimi nilioa classmate wangu!


Mxiuuuu!
 
Muhammad alioa Binti wa miaka 6!!?

That's a pedophilia kama ni kweli hiyo hadithi Ina ukweli.
 
Hapa acha niheshimu mawazo yako na mitazamo ya hao😁 😎
Japo umaskin unAtufanya tuoe used wife unao mke yuko na 25/31+yrs(km 99999999999) nawe upo na 24/27
 
Tatizo liko wapi?...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’•πŸ’•πŸ’•β™»οΈβ™»οΈβ™»οΈπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜˜πŸ˜˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…