Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze.
View attachment 3160191
Kusimama kama mwanaume ni kazi hatakama anakuonyesha heshima kiasi gani.
Jambo kubwa unalofaa kufanya ni kutoweka budget ya kipato chake kwenye kuendesha familia yenu.
Stand as a man hudumia familia, hela yake itumike katika hali ya emmergency na ukiweza una refund ili kuhakikisha una sauti.
Najaribu kumaanisha kwamba usibweteke katika kuhudumia familia kisa wife anacho kipato, italeta shida na bomu utakalokuwa unasuka ni kubwa sana.
We nawe!
Kwahiyo unadhani wanawake wasio na kipato kina kasongoyeye hawawagongi!!?
Bila kujali ana kipato au hana mwanamke akianza kupata mtu wa kumpa vihela na kumgonga nje ataanza dharau na kupandisha mabega tu!!!
Mahusiano hayana formula!
Nikupe mfano!!!?
Jamaa alitangulia kuajiriwa akaanza kupokea noti,yule Dem wake wa chuo ambae alimoa mimba hakumuacha coz alipoenda kujifungua kwao jamaa alimfuata wakaanza maisha baadae Dem akapataajira halmashauri nyingine ,ilibidi jamaa aongee na wakubwa wakaihamisha ajira pale alipojamaa coz alimuonea huruma mtoto na mama kwenda kuanza maisha mapya sehem nyingine!!
Kwa kua jamaa ni nice guy ,tangu mwanzo alikua na tendency ya kupiga bajet na mke wake ya mwezi mzima hasta kabla mke hajaajiriwa Wala hakua na uhakika kama atapata ajira au lah!!
Ke alipopata Ajira wakaanza kujenga na kushirikiana Kwa Kila hali Hadi wakapata pa kushika!!
Kivumbi alikuja mama mkwe yaani mama was jamaa ndipo mwanamke akaanzisha sarkasi na kuanza kutoka na madon wenye pesa wa kitaa!!
Sasa unadhani jamaa alikosea Nini!!?maana kama ni kazi ke amepata akiwa anakula vya jamaa!!!
Jamaa hakua na ndoto ya kuoa muajiriwa ilitokea TU by chance hata hivyo mshikaji kagoma kuhalalisha ndoa kabisa coz anaona amepoteza hamasa na mstakabali wa maisha!!!
NDOA HAINA KANUNI SPECIFIC WALA MAFUNZO MAALUM YANAYOWEZA KUWA TIBA HALISI YA KILA MAHUSIANO DUNIANI!!!
BY EXPERIENCE WANAWAKE WALIOAJIRIWA HUWA WANALILIA NDOA SANA HATA KUWABEMBELEZA JAMAA ZAO ILI WAFUNGE HIZO NDOA LAKINI IKISHAFUNGWA TU NA AKAPATA ANACHOTAKA !SARAKASI HUANZA!!
Case study Kuna mmoja alikopa kabisa Ili afunge ndoa na mke wake ambae ni mwajiriwa idara ya msingi,ndoa ilifana na mimi nilimchangia jamaa,
Sasa hivi huyo shemeji yetu kapanda cheo,huyu jamaa kawa houseboy anafua na kupikia watoto wakati mkewe anaranda tu mtaani!!!
Wapo waliosomesha watoto na kujenga vitega uchumi wameuliwa mapema na wake zao au hawana sauti tena!!!
NDIO MAANA MIMI SIDHARAU WANAOJINYONGA AU KUWAUA WAKE ZAO NA KUISHIA JELA!!