Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Duh! We kweli imekuchoma so povu hili aisee!!!
 
Pale ambapo kuna kitu umekisubiri kwa muda sasa umekipata basi full shida kwa sie wengine
hahahaha mtoa mada tunajua una ndoa sasa pambana na hali yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
@golddiggers at work migodi nowadays hakuna kpindi hiki cha magu pambaneni na hali zenu!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwakweli mkwe hakutakii mema, anataka ufe kwa stress?
Auntie nitakufwa na stress ujue, ngoja nijitafutie mwingine
 
Kuna mmoja kaweka uzi huku ndani anajiita Gone Gud. Kuweni nahe makini ni anajidai ana miliki mali ili akupime akili kujua wewe una nini akisha kujua anajipima kama anaendana na wewe... Kumbe hana mali yoyote hana lolote utasikia mm nina jenga, nina miliki business mara nina company yangu.. Yaan mbwembwe kibao.. Mwambie sasa akutumie picha utachoka hahahahaah kumbe anaanglia una mali kiasi gani... Kibaya akakutana na mm sitikisiki na mali na nika mficha nilicho nacho nika jishusha kuhusu maisha yangu ili asijue na kama ana mapenzi yadhati nimuone mwishowe hahahahah mwisho wasiku akajiaminisha life langu lakawaida si akaanza nyodo.. Hapo hatujakutana ila akaanza kiburi nikajua huyu alikuwa malaya wa haja.. Angejua anachat na mtu gani ange pagawa..

Wanawake wa huku jamii full kudanga
 
ndo wengi hivyo mi nakwambia...hata ukiwa nazo usimuoneshe kwanza uone kama kweli atataka kuolewa kwa dhati
Good that is the best solution usimwambie una nini mwache ajitape kwanza kisha mtadhimin mpaka ujiridhishe maaana makahaba wengi kweli humu...
 
Mtoa mada;huoni mada za malalamiko ya ndoa au umekuwa blind,

kama ni hela embu kuwa real,wewe hupendi???????????

sio wanawake wote wamekosa wanaume wa kuoa,

wengine wana high standards and they are not ready to settle for less,

the cost of this standards ni kutokua na mtu,kama hakidhi vigezo vyake,

ni hayo tu mkuu
 
Mdada amecheza kwaito kibao bila kuolewa hadi akitembea, anatembea kama anacheza kwaito. Yaani kikwaitokwaito. Hadi raha! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawatania mwayego, ata sio kweli.
 
Mdada amecheza kwaito kibao bila kuolewa hadi akitembea, anatembea kama anacheza kwaito. Yaani kikwaitokwaito. Hadi raha! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawatania mwayego, ata sio kweli.
[emoji3] [emoji1] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…