Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Teh wamejisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh wamejisahau
Fukara!.....ufukara ni mbaya sana!Mwanangu kumbe fukara? Kama sio ujue kuna siku utakuwa fukara maneno uumba
EwaaaaMinilisha kuchagua wewe mubashara... hata yeye anajua...[emoji13] [emoji13]
MmmhEbu mshauri akuje na ile ID yake tunayo ifaham mimi na wewe....[emoji12] [emoji12]
Mchana nilipotoka kubeba zege, haki nilichoka hun...[emoji8], na pale bed ndipo uli nimaliza kabisa.... hadi nikasahau sala ya usiku, maana sio kwa mshindo ule....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Ewaaaa
Halafu bae mbona usiku hukuniambia tena jamani, yaani ulimaliza ukaishia usingizini
Naona vile kiroho kinavyo kudunda babe.....[emoji12] [emoji12]Mmmh
JamaniiiiMchana nilipotoka kubeba zege, haki nilichoka hun...[emoji8], na pale bed ndipo uli nimaliza kabisa.... hadi nikasahau sala ya usiku, maana sio kwa mshindo ule....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Allah Akbaar...!Mwanaume uingie kulala umkute mkeo kalala uchi hasira zinahama lazima utaomba game tu au usiku umelala unasikia umeguswa na tako lazima upapase
Saivi ni tea time baeNaona vile kiroho kinavyo kudunda babe.....[emoji12] [emoji12]
Leo hauna vipindi....? Maana sio kwa kuhangaika huku....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Khee ushamwacha yule mwingine?Ewaaaa
Halafu bae mbona usiku hukuniambia tena jamani, yaani ulimaliza ukaishia usingizini
...richaabra et.alMi siamini kama aliyeandika thread hii ni mwanamke,bado sijaamini.
Naona ananichelewesha ndoa, sina rahaKhee ushamwacha yule mwingine?
Uzi ufungweHuu uzi waonekana kuwa Mzuri kwa wengi LAKINI yaonekana kama unawaattack ambao bado hawajaolewa.
Ni kwanini mwanamke anapochelewa kuolewa tayari watanzania haswa wanamhukumu kwa kumuona kuwa amekata tamaa?
Ikiwa alichelewa kwasababu ya kusoma ama kulitumikia Taifa lake kwa namna flan flan?
Mathalan alienda kusomea udaktari kwa miaka mingi ili aje kutibu UTI ama ugonjwa wowote sugu hapa nchini?
Sio wote ambao hawajaolewa wana stress na inategemea ni nini kimewachelewesha.
Angekuwa ni Mzungu hata akifikisha miaka 40 akiwa single mngeshangaa?
Je huko ulaya na kwingine pia kuna haya malalamiko juu ya wasioolewa?
Kingine kile Mungu anachompangia mtu ni tofauti na matakwa ya Bin'adam.
Ni vizuri kuolewa lakini usiwalaumu ambao hawajaolewa kama hujui ni kwanini wapo hivyo.
SAWA?
Pole sana bae...Saivi ni tea time bae
Halafu niko na mawazo kwa mbaaaaaliiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona ananichelewesha ndoa, sina raha