Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Ewaaaa
Halafu bae mbona usiku hukuniambia tena jamani, yaani ulimaliza ukaishia usingizini
Mchana nilipotoka kubeba zege, haki nilichoka hun...[emoji8], na pale bed ndipo uli nimaliza kabisa.... hadi nikasahau sala ya usiku, maana sio kwa mshindo ule....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Jamaniiii
Pole kwa uchovu kipenzi, hebu niambie sa hii kabla ya uchovu mwingine
 
Naona vile kiroho kinavyo kudunda babe.....[emoji12] [emoji12]
Leo hauna vipindi....? Maana sio kwa kuhangaika huku....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Saivi ni tea time bae
Halafu niko na mawazo kwa mbaaaaaliiii
 
Huu uzi waonekana kuwa Mzuri kwa wengi LAKINI yaonekana kama unawaattack ambao bado hawajaolewa.

Ni kwanini mwanamke anapochelewa kuolewa tayari watanzania haswa wanamhukumu kwa kumuona kuwa amekata tamaa?

Ikiwa alichelewa kwasababu ya kusoma ama kulitumikia Taifa lake kwa namna flan flan?

Mathalan alienda kusomea udaktari kwa miaka mingi ili aje kutibu UTI ama ugonjwa wowote sugu hapa nchini?

Sio wote ambao hawajaolewa wana stress na inategemea ni nini kimewachelewesha.

Angekuwa ni Mzungu hata akifikisha miaka 40 akiwa single mngeshangaa?

Je huko ulaya na kwingine pia kuna haya malalamiko juu ya wasioolewa?

Kingine kile Mungu anachompangia mtu ni tofauti na matakwa ya Bin'adam.

Ni vizuri kuolewa lakini usiwalaumu ambao hawajaolewa kama hujui ni kwanini wapo hivyo.

SAWA?
 
Uzi ufungwe
 
Mkuu... wenye akili watakuelewa ila wale walio na frustration za kukosa ndoa na walio achika kwa kukosa akili ya ndoa, watakutukana sana
 
Back
Top Bottom