Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Utasikia hata hapa hapa kwenye huu uzi,nina pesa sijui nina elimu,mwanangu nitamlea mwenyewe wakati ikifika usiku akijikuta mwenyewe with that huge bed alone haaaaa anawawaza hadi ma bff wa shule ya msingi.
Nishakua single na baada ya kuolewa nimegundua ni best part of the life.hawa wanaoongea -ve kuhusu maisha ya ndoa hawajapata hiyo nafasi
..kule twitter unatumia handle gani maana leo nimesoma mambo ya alarm za asubuhi za jamaa si ww?
 
Kizuri mgawane na mwenzio huyu wa humu ndani unae mjua....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bahati hii mkuu, wanaume wenyewe tumebakia wachache kuliko wavulana...[emoji13] [emoji13]
Kugawana sitaki tena mimi labda umuache huyo uliyenaye
 
Kuna manzi mmoja nilimtongoza huku JF alipogundua kuwa mimi ni fukara akaniacha na kuniambia "i can't go on with the broke ass"!!

Mwanangu kumbe fukara? Kama sio ujue kuna siku utakuwa fukara maneno uumba
 
Hamna part nzuri kama ya kusubiriana nani aanze...
Mi akininunia usiku najifanya nipo usingiziiiniii namsogelea nione kama kweli kama atachomoa aaahhhha tunakinukisha asubuhii aaah furaha tele

Wanawake mna makusudi akiona mtu huna habari nae anakugusisha ta.ko hata kama una usingizi unakata
 
Back
Top Bottom