Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

MAMA UMESEMA KITU AMBACHO NIMEWAHI KUKISEMA MOJA YA UZI WANGU.

WALINICHAMBA SABABU ETI MIMI NIMWANAMME.

SASA BORA WEWE NIMWANAMKE UMEONGEA ...ASANTE SANA MPENDWA .
 
"That awkward moment when all i want is cuddle next to someone then i realise that am single"

[emoji4][emoji4][emoji4]
 
En ,nakuhakikishia ,,Mijadala wanayoitoa WANAWAKE WAHUMU NAMICHENGO YAO ...

ASILIMIA 99 NIUTUMBO AMBAO MWANAMKE ASOKUA NAAKILI NDOA ITAMSHINDAA ,,MAHUSIANO YAKE YATAMSHINDA.

HUMU WANAWAKE WALUOPO WENGI NIMASTRESSS BALAAAA ...MTU ANAWEZA KUKUPA TANGO PORI NAWW UKAISHIA KUA SINGO MAZA ...

nawasomaga tuuuu kimya kimyaaa nakuishia kuniita katoto ,Mara mpuuzi ,,wakati MIMA WANGU ndo anajua ukubwa Wangu.
 
Mke wa mtu ni SUMU utauliwa bure wewe dogo
 
Nimesoma bandiko lako ila bado nawaza wewe ni Ke? Thread yako imekaa kama imeandikwa na Me.

Wamekusikia ingawa umetumia maneno makali.
Hamtak kuelewa message mnataka kujua jinsia ya mtu..maneno ya ukweli mchungu
 
Mimi ni mwanamke my dear.ila nina kaka na wadogo zangu wakiume aisee kaka washaoa bado wadogo zangu nina waonea huruma sanaa.maana hii mitandao imebadilisha roho za watu sana...mama zetu mbona waliweza jamani
Sawa dia
 
Mi napita tu maana nikichagia nitaambiwa nina tabia ya kuwaponda sana wanawake nawaachia kina Nokia83 waongee
 
Wanasema aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Ukitambua thamani yako na kwa nini upo hapo ulipo kwenye ndoa au ghetto maoni ya watu ya kukushusha hayakusumbui. Hutajisumbua hata kuwajibu kwa sababu unajua wanafanya vile kwa sababu hawaijui thamani yao au wana picha ya uongo kuhusu wao. Kwa hiyo huwezi kujibizana na mtu asiyeujua ulimwengu wako. Anayejua thamani yake au ya nafasi yake yoyote hajioni bora kuliko mwingine kwa sababu hutumia muda wake na mali zake na akili zake kulinda na kuongeza thamani yake na kurahisishia wengine maisha. Anayeijua thamani yake, thamani ambayo haihalalishwi na ndoa, gari, cheo, watoto wala umbile hajisumbui kujihalalisha na kutetea vitu ambavyo anajua leo jioni vinaweza visiwepo ila yeye ataendelea kuwepo na kufurahia muda mfupi aliowekwa duniani au yeye ataondoka na kuviacha.
 
Tukiachana na aliyendika thread vipi kuhusu message yake?
Hamna kipya kwenye message yake ambacho mwanamke hakijui,wanawake wote wanayajua hayo ila sio lazima kuyafatisha sababu maisha hayana formula kama vile watu wanavojua ubaya wa sigara na bado wakaendelea kuvuta.
 
Furaha si lazima uolewe, wengine ndoa ni makaburi ya furaha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…