Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Hata mimi nilikuwa na mahusiano na binti mmoja alipogundua mi nifukara aliniambia laivuu"KUWA NA WAZAZI FUKARA NI MAPENZI YA MUNGU,ILA KUWA NA WAKWE MASIKINI NI KUJITAKIA"sita sahau kauli hii.
 
Shost mbona una hasira sana?

Ndo umetoka kuolewa juzi juzi nini? Ndoa bado changa? Maana si kwakuprovoke huku[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
Ukweli hamtaki kuusikia wanawake, maneno yako hayageuzi jinsia yangu nakuwa mwanamke.
 
Hahahaa. Ukisikia makavu live ndio haya sasa.

Maisha ya humu ni akili kichwani tu na mara nyingi ule usemi wa akili ya mwenzio changanya na yako ndio huwa naitumia aisee. Bila hivyo humu kupotea nje nje.
 
Samahani naomba kusaidiwa, hoja ya msingi Kwenye huu Uzi ni ipi hasa?
Kwamba wanawake wenye umri wa kuanzia 30 na kuendelea ambao hawajaelewa ni kwasababu ya kutaka wanaume wenye Pesa Au?
Kama Jibu ni Ndiyo basi naomba kuchangia Kama ifuatavyo;
Kwanza hiyo haiwezi kuwa sababu ya pekee ya kufanya binti/mwanamke achelewe Au asiolewe!
Tujaribu kuwa fair jamani!
Halafu ni zana potofu kutaka kujaribu kudharau wanawake ambao bado hawajajajaliwa kuolewa !
Kuna wanawake ambao wako na umri ambao ni zaidi ya huo wa miaka 30 ambao ni mabikra, wengine ni watulivu kabisa na wenye tabia njema ya kuwa wake Za Watu !
Wapo makanisani na misikitini!
Siyo wote ni wahuni Au wenye tamaa na kutaka wanaume matajiri Kama mnavyosema!
Kwa asilimia flani ni Kweli nakubaliana na mleta mada lakini naona Kama tutaishia ku conclude hivyo kwa wote haitakuwa sahihi Hata kidogo!
Maisha hayana kanuni ya aina moja!
Maisha hayana jibu la aina moja!
Tuheshimiane sote bila kujali chochote Kile !
 
Mimi ambao sikubaliani nao ni wale wanaotembea na Waume Za Watu hao siwezi kuwatetea Hata kidogo!
Lakini Kama Mtu yuko single na ametulia Kama ni uhusiano yuko na single mwenzie hapo watajua wenyewe na Mungu wao!
 
Sasa niwaulize ; hao walioolewa wao ndo hawapendi pesa?
Kwanza wengine wameolewa kwa mbinde kwa kujitoa ufahamu na kujipeleka wenyewe kwa mwanaume!
Wengine kwa kujishikisha mimba!
Tukitaka kuangalia wengi walivyoingia Kwenye ndoa tutaanza kuhoji Hata uhalali wao ktk hizo ndoa!
 
Mwanaume usijidangaje eti mwanaume machine, mwanaume kazi ya kukupa riziki kiasi cha kujikimu si haba!
Machine Siku hizi siyo ishu maana busta zinapatikana ilimradi unapata pesa japo kidogo ya kujikimu!
 
Kuna wanawake wamekariri kukaa Kwenye ndoa kiasi Kwamba anahatarisha maisha Yake anapigwa wee lakini anaogopa akiachika itakuwa aibu kwaajili ya zana potofu!
Sisemi Haya kusupport wanandoa kuachana hapana maana Imeandikwa Hata Mungu anachukia kuachana!
 
Mtoa uzi naona umenikumbusha jambo fulani ambalo nilishawahi kunitokea humu.
Nilileta uzi humu wa kutafuta mchumba wa kwenda kuyajenga, baadhi yao wakanifata pm na hata kubafilishana namba za sim. Balaa lilikuja kwenye kutumia picha yaani kuniona tu alikatisha mawasiliano maana yake alijua atanikuta nipo kwenye jumba la kufahari. Yaani sijui hata nilimkera nini nilijitafakari sana. Mwengine alinuna baada ya kumwambia naona kibonge akaanza kuniuliza "kwani vibonge huwataki?" Nikamjibu kawaida basi na yeye akapotea ghafla kisa nimemwambia ni kibonge wala sikua na nia mbaya.
Kwa wafupi wanawake wengi wa humu wanaojipambanua hawana lolote, avatar unayokutana nayo hapa ukimuona mwenyewe yaani ni shida hata kumtambulisha kwa marafiki zako inashindikana kwa aibu.
 
. Oleweni tu jamani acheni kutoa mastress yenu humu ndani na kujifanya maisha yenu yapo perfect sana na kuona walioolewa wamekosea sana.

Kuolewa kuna raha yake bwana hata kama umeolewa na mwanaume wa aina gani. Mwanaume wako tena wa ndoa ni raha jamani. Awe broke, sijui free p, yukoje yukoje, saidianeni maisha usisikilize pumba za wanawake waliokosa kuolewa humu ndani.
.

sasa tunajioa wenyewe au..........wakutuoa hawapo.........wakija tutaolewa.........
 
Mchuano bado ni mkali
Wadada naona bado wanamshambulia mtoa mada kwa mbinu zote mpaka akiri kuwa alichokiandika hakukusudia au aseme aliyemtuma ni nani!
Huku wanaume tunazidi kushangilia ushindi wa mleta mada.
 
Back
Top Bottom