Thelonious
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 218
- 452
Huo ndiyo ukweli mkuu....Jajajajaahajaj
Mtu mfupi kabla hajakutana na mrefu tayari kuna mgogoro wa nafsi kati yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndiyo ukweli mkuu....Jajajajaahajaj
Hahha me sitaki kuongea sana leo. Pale ulipoaminishwa kuwa your whole life revolves around marriage, basi unahisi wote ambao hawajaolewa wana shida na kulia kweli kweli, na wewe uliyeolewa ndo umeyapatia na kumaliza maisha.. Uzuri si tunayaona kwa macho bana teh. Ila thamani ya mtu inaanzia ndani yake mwenyewe regardless of his/her status.Aah mdogo wangu watuache bwana, yaani hawa walioko kwenye ndoa walitegemea wao tu ndio watakuwa na furaha na sie wengine tutakuwa tuatembea na pichu kichwani sasa anapoona yeye aliyeolewa full stress af aliyeko singo anafurahia maisha inamuuma hatari
Nashukuru umesema we mkakaSeems like something is not adding up or am using too much energy to read the obvious.
Kuna tatizo kubwa kwenye ndoa yako na umekuja kuanzisha thread hii kama kujipa faraja.
Yan nlivo mref huwa nna marak wafup tuu, na warefu wenzang ndo wachache tunaznguana, japo wale wafup kabisa hiwa siwez kuwaangalia machoni. Na wapo waref huwa hatuangalian machon kbsaa,. Exmpl, headmaster wang enz hzoooo kiskulHuo ndiyo ukweli mkuu....
Mtu mfupi kabla hajakutana na mrefu tayari kuna mgogoro wa nafsi kati yao.
Kwa maneno haya kuntu, naomba unifungulie mlango wa mtima wako ili niingie....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahha me sitaki kuongea sana leo. Pale ulipoaminishwa kuwa your whole life revolves around marriage, basi unahisi wote ambao hawajaolewa wana shida na kulia kweli kweli, na wewe uliyeolewa ndo umeyapatia na kumaliza maisha.. Uzuri si tunayaona kwa macho bana teh. Ila thamani ya mtu inaanzia ndani yake mwenyewe regardless of his/her life.
Ndoa ni kitu chema sana, ila sio kitu chema pekee kwenye maisha ya mtu, so hata bila ndoa mtu bado ana mambo mema mengi tu ya kumfanya amshukuru Mungu na aishi kwa furaha. Na usimdharau mtu ambaye hajaolewa, coz hata yeye anaweza kuja kuolewa na hata kama asipoolewa bado huna sababu ya kumdharau. So we should live and let live, afu huo muda wa kuchunguza fulani ana furaha au hana kwa sababu hajaolewa, wewe unautoa wapi jamani, na amekushirikisha kuwa hana furaha au ndo wishes zako? Na mtu achague tu anayemtaka, maana akijibebea tu, yeye ndo atakayekuja kulia huko ndoani. Maana siku hizi kama hujaolewa basi watu wanalazimisha tu ubebe yeyote aliye mbele yako, ukikataa tu "ooh anachagua sana", wao hawakuwa na vigezo?
Naongeza nini sasa hapa...umemaliza kila kitu. Yaani hata akikuona una furaha bado atakulazimisha kwamba una stressHahha me sitaki kuongea sana leo. Pale ulipoaminishwa kuwa your whole life revolves around marriage, basi unahisi wote ambao hawajaolewa wana shida na kulia kweli kweli, na wewe uliyeolewa ndo umeyapatia na kumaliza maisha.. Uzuri si tunayaona kwa macho bana teh. Ila thamani ya mtu inaanzia ndani yake mwenyewe regardless of his/her life.
Ndoa ni kitu chema sana, ila sio kitu chema pekee kwenye maisha ya mtu, so hata bila ndoa mtu bado ana mambo mema mengi tu ya kumfanya amshukuru Mungu na aishi kwa furaha. Na usimdharau mtu ambaye hajaolewa, coz hata yeye anaweza kuja kuolewa na hata kama asipoolewa bado huna sababu ya kumdharau. So we should live and let live, afu huo muda wa kuchunguza fulani ana furaha au hana kwa sababu hajaolewa, wewe unautoa wapi jamani, na amekushirikisha kuwa hana furaha au ndo wishes zako?
Nashukuru umesema we mkaka
Mkuu.....Kama humu JF na mitandao mingine ya kijamii upo na umeolewa, changanya na zako vinginevyo ndoa itakushinda humu wengi wana stress za kutoolewa na washapitisha miaka ya 30 na kitu, ukiangalia wanavyojipambanua humu yaani full stress, kuwadharau wanaume tu kisa hamjapata nafasi ya kuolewa.
Nakumbuka kamsemo ka tangu 2015 ka free p yaani kujiuza kujiuza. Oleweni tu jamani acheni kutoa mastress yenu humu ndani na kujifanya maisha yenu yapo perfect sana na kuona walioolewa wamekosea sana.
Kuolewa kuna raha yake bwana hata kama umeolewa na mwanaume wa aina gani. Mwanaume wako tena wa ndoa ni raha jamani. Awe broke, sijui free p, yukoje yukoje, saidianeni maisha usisikilize pumba za wanawake waliokosa kuolewa humu ndani.
Unakuta kila uzi ukiuangalia unaona kila mwanamke anajipambanua kwa kutaka mwanaume mwenye pesa sana ndoa haziji kwa staili hiyo na humu kwenye ndoa ni mchakamchaka pamoja sio kusubiri kila kitu upewe. Mtatumika tu na ndoa hampati kwa roho zenu za kuweka pesa mbele.
So mwanamke mwenzangu uliyepo kwenye ndoa changanya na zako ukiwa humu ndani. Awa wengine waache waendelee kucheza kwaito kwenye harusi za wenzao mpaka visigino vikatae.
Hahaha espy njoo unisaidie kucheka huku, eti atakulazimisha tu kuwa una stress, as if waliopo ndoani wote hawajui kitu stress, wanacheka tu maisha yao yote. Wakati maisha ya aina yoyote yale, stress hazikosekaniNaongeza nini sasa hapa...umemaliza kila kitu. Yaani hata akikuona una furaha bado atakulazimisha kwamba una stress
Mie tiyariiiiii, kwaito nachezea tu hobby hahaKwa maneno haya kuntu, naomba unifungulie mlango wa mtima wako ili niingie....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Atakuwa ameolewa na free P na anadhani kila mtu asiyeolewa basi kakimbia free PHuhitaji kutumia nguvu nyingi kuona kwamba anatafuta faraja, angalia uchaguzi wa maneno, defenses, na vile anatetea sana free p.
Naamini maisha ni uchaguzi.
Ebu ngoja nije Tanga tuyajengeSitaki mimi foleni zimenichosha sasa hivi nataka wa peke yangu
Pole sana mkuu.Kuna manzi mmoja nilimtongoza huku JF alipogundua kuwa mimi ni fukara akaniacha na kuniambia "i can't go on with the broke ass"!!