Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Nashindwa kuelewa mnapowaaminisha watu ndoa ni furaha na huku kila kukicha humu nyuzi za Matatizo ya ndoa haziishi!!!

Ndoa ni kitu chema...Haimaanishi usipokuwa nayo ukose furaha!!!
Mm nitaendelea kuchagua coz ninayeeenda kuishi naye huyo mtu ni Mimi!!!
 
Naona kuna watu wanatapatapa tu kwny huu uzi kama samaki aliyetolewa nje ya maji
 
Ujumbe maridhawa kabisa japo kuna kale kamsemo " usikimbilie mume ukaukondesha moyo"
"Yanini tungule wakati mume majaliwa.....Usije itaka harusi kwa pupa, usijeitaka harusi ukarudi na talaka, usikimbilie mume ukaukondesha moyo....."

hehehe ujumbe murua kabisa kama kisu basi kimegonga mfupa.
 
Wapo watakaokuelewa na wapo wengi watakukashifu.

Kwa kifupi mwanamke aliyeolewa akawa ana familia yake hata nyumbani kwa wazazi huwa anaeshimika sn
Na mwanaume aliyeachika je ?
 
Mwanaume haachiki anaacha.

Labda kwa mwanamke aliyezaa hovyo kila mtt na baba yake ndio anaweza kujisifia aliacha mwanaume
Mwanaume aliyeachika anaheshimika na nani ?
 
Amechafukwa na ndoano, huko ndani hapakaliko sahivi.
Hapa kuna mtu anatafuta faraja tu...[emoji13] [emoji13]
Mbona sie hatugombani bae, mie naona ni mada kaleta bwana msimshambulie yeye ka yeye kipenzi!!!! Kila mahali kuna changamoto na kila mmoja ako na namna ya kutatua hizo changamoto. Wa kumwelewa kaelewa wa kuona ako na shida kwa ndoa ni sawa pia.... Ilimradi hatumuathiri kwa lolote acha iwe hivyo
 
Sisi ndoa yetu ni paradiso, tunamshirikisha Mungu kila panapo tokea migongano.
Nakupenda na wewe unanitii..... Sasa lini tutaja gombana love....[emoji45] [emoji45]
Ebu tuwaachage wapambane na ndoano zao....[emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom