Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Kama kuna mtu anayefuata maneno ya humu atakuwa mjinga kweeli, yapo ya kuelimisha ila meeengi ni kukatishana tamaa. Ni akili yako tu ndo itakufanya uone ukweli uko wapi.
Hamna wa kunibadilisha msimamo wangu kwa kile ninachoamini, yule ninayempenda na maisha yangu kwa ujumla. Kila mmoja ako na namna ya kuishi, sababu fulani hakulwi na mumewe hadi hela na anajisifia eti na mie niige???? Huo ni uzwazwa!!!

Akili kumkichwa
 
Nipo mpenzi, hofu yangu ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu...[emoji39] [emoji39]
Haha
Mie niko salama my dear!!!

Umeuona Uzi lakini???? Eti nikuache wewe sababu ya story za kusadikika????? Haitotokea
 
Watanzania bhana sijui kwa nini mnapenda kupangiana maisha, kwa hiyo unataka kuniambia kisa tu nimekosa mume niwe natembea namwaga mchozi barabarani? Mnataka kila siku humu nilalamike upweke au mnataka niwe nashinda love connect kutafuta mume maana nikionekana nimefurahi shida, nikionekana nimekubaliana na hali yangu na ninafurahia maisha yangu mnalazimisha ati nna stress. Kama wewe unaona ndoa ndo kila kitu kwenye maisha yako yaani bila ndoa wewe si mtu hai ni wewe mama pambana na hali yako
 
Haki nimecheka kama mazuri
 
Haha
Mie niko salama my dear!!!

Umeuona Uzi lakini???? Eti nikuache wewe sababu ya story za kusadikika????? Haitotokea
Huo ni wivu tu babe.....
Achana nao hao wenye kutaka tuachane... mimi na wewe ni maji na mtungi, hata mapigo yetu ya [emoji173] yana dunda sawa.....[emoji8]
 
Mchuano bado ni mkali
Wadada naona bado wanamshambulia mtoa mada kwa mbinu zote mpaka akiri kuwa alichokiandika hakukusudia au aseme aliyemtuma ni nani!
Huku wanaume tunazidi kushangilia ushindi wa mleta mada.
Hahahaha nipo na pop corn na pepsi bariiiid nafatilia page kwa page.
 
Watanzania bhana sijui kwa nini mnapenda kupangiana maisha, kwa hiyo unataka kuniambia kisa tu nimekosa mume niwe natembea namwaga mchozi barabarani? Mnataka kila siku humu nilalamike upweke au mnataka niwe nashinda love connect kutafuta mume maana nikionekana nimefurahi shida, nikionekana nimekubaliana na hali yangu na ninafurahia maisha yangu mnalazimisha ati nna stress. Kama wewe unaona ndoa ndo kila kitu kwenye maisha yako yaani bila ndoa wewe si mtu hai ni wewe mama pambana na hali yako
Eti bila ndoa haupumuwi.....[emoji12] [emoji12]
Yaani bila kuolewa hata chakula hakipiti kooni.....[emoji13] [emoji13]
Hatari sana aiseeeee.......[emoji14] [emoji14]
Jf kuna raha za kila rangi....
 
Kama kuna mtu anayefuata maneno ya humu atakuwa mjinga kweeli, yapo ya kuelimisha ila meeengi ni kukatishana tamaa. Ni akili yako tu ndo itakufanya uone ukweli uko wapi.
Hamna wa kunibadilisha msimamo wangu kwa kile ninachoamini, yule ninayempenda na maisha yangu kwa ujumla. Kila mmoja ako na namna ya kuishi, sababu fulani hakulwi na mumewe hadi hela na anajisifia eti na mie niige???? Huo ni uzwazwa!!!

Akili kumkichwa
Huku ni kuchafukwa kwa bahari.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mtoa uzi naona umenikumbusha jambo fulani ambalo nilishawahi kunitokea humu.
Nilileta uzi humu wa kutafuta mchumba wa kwenda kuyajenga, baadhi yao wakanifata pm na hata kubafilishana namba za sim. Balaa lilikuja kwenye kutumia picha yaani kuniona tu alikatisha mawasiliano maana yake alijua atanikuta nipo kwenye jumba la kufahari. Yaani sijui hata nilimkera nini nilijitafakari sana. Mwengine alinuna baada ya kumwambia naona kibonge akaanza kuniuliza "kwani vibonge huwataki?" Nikamjibu kawaida basi na yeye akapotea ghafla kisa nimemwambia ni kibonge wala sikua na nia mbaya.
Kwa wafupi wanawake wengi wa humu wanaojipambanua hawana lolote, avatar unayokutana nayo hapa ukimuona mwenyewe yaani ni shida hata kumtambulisha kwa marafiki zako inashindikana kwa aibu.
Naona kama umetoka nje ya mada hivi, mada inazungumzia wanawake waolewee waache maisha ya usingle nakuchagua wanaume,
wewe unatueleza ulivyo hodari kutoa kasoro za hao wadada.....
tujifunze kuelewa mada na kutiririka nayo.
 
Aah mdogo wangu watuache bwana, yaani hawa walioko kwenye ndoa walitegemea wao tu ndio watakuwa na furaha na sie wengine tutakuwa tuatembea na pichu kichwani sasa anapoona yeye aliyeolewa full stress af aliyeko singo anafurahia maisha inamuuma hatari
Hahaaahaaaa......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Eti bila ndoa haupumuwi.....[emoji12] [emoji12]
Yaani bila kuolewa hata chakula hakipiti kooni.....[emoji13] [emoji13]
Hatari sana aiseeeee.......[emoji14] [emoji14]
Jf kuna raha za kila rangi....
Hatari sana aisee
 
Back
Top Bottom