Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Kipenzi upooooKuchafuka kwa bahari....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipenzi upooooKuchafuka kwa bahari....
Kweli Inna, next time taarifa week 2 kablaHahaha acha uwongo...alafu si vzr kuja kimya kimya
Nipo mpenzi, hofu yangu ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu...[emoji39] [emoji39]Kipenzi upoooo
Ndio ufanye hvyooKweli Inna, next time taarifa week 2 kabla
HahaNipo mpenzi, hofu yangu ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu...[emoji39] [emoji39]
Ahsantee sanaNdio ufanye hvyoo
Kuna manzi mmoja nilimtongoza huku JF alipogundua kuwa mimi ni fukara akaniacha na kuniambia "i can't go on with the broke ass"!!
Watanzania bhana sijui kwa nini mnapenda kupangiana maisha, kwa hiyo unataka kuniambia kisa tu nimekosa mume niwe natembea namwaga mchozi barabarani? Mnataka kila siku humu nilalamike upweke au mnataka niwe nashinda love connect kutafuta mume maana nikionekana nimefurahi shida, nikionekana nimekubaliana na hali yangu na ninafurahia maisha yangu mnalazimisha ati nna stress. Kama wewe unaona ndoa ndo kila kitu kwenye maisha yako yaani bila ndoa wewe si mtu hai ni wewe mama pambana na hali yako
Huo ni wivu tu babe.....Haha
Mie niko salama my dear!!!
Umeuona Uzi lakini???? Eti nikuache wewe sababu ya story za kusadikika????? Haitotokea
Aah mdogo wangu watuache bwana, yaani hawa walioko kwenye ndoa walitegemea wao tu ndio watakuwa na furaha na sie wengine tutakuwa tuatembea na pichu kichwani sasa anapoona yeye aliyeolewa full stress af aliyeko singo anafurahia maisha inamuuma hatariHaki nimecheka kama mazuri
Hahahaha nipo na pop corn na pepsi bariiiid nafatilia page kwa page.Mchuano bado ni mkali
Wadada naona bado wanamshambulia mtoa mada kwa mbinu zote mpaka akiri kuwa alichokiandika hakukusudia au aseme aliyemtuma ni nani!
Huku wanaume tunazidi kushangilia ushindi wa mleta mada.
JajajajaahajajMwanamke ambaye hajaolewa kabla hata hajakutana na mwanamke mwenye mme tayari (wanamgogoro wa nafsi).
Kama ilivyo mtu mfupi na mrefu kabla hawajakutana wanamgogoro wa nafsi.
Heee[emoji57] [emoji57] [emoji57]Bwa ha ha ha ha
Eti bila ndoa haupumuwi.....[emoji12] [emoji12]Watanzania bhana sijui kwa nini mnapenda kupangiana maisha, kwa hiyo unataka kuniambia kisa tu nimekosa mume niwe natembea namwaga mchozi barabarani? Mnataka kila siku humu nilalamike upweke au mnataka niwe nashinda love connect kutafuta mume maana nikionekana nimefurahi shida, nikionekana nimekubaliana na hali yangu na ninafurahia maisha yangu mnalazimisha ati nna stress. Kama wewe unaona ndoa ndo kila kitu kwenye maisha yako yaani bila ndoa wewe si mtu hai ni wewe mama pambana na hali yako
Huku ni kuchafukwa kwa bahari.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kama kuna mtu anayefuata maneno ya humu atakuwa mjinga kweeli, yapo ya kuelimisha ila meeengi ni kukatishana tamaa. Ni akili yako tu ndo itakufanya uone ukweli uko wapi.
Hamna wa kunibadilisha msimamo wangu kwa kile ninachoamini, yule ninayempenda na maisha yangu kwa ujumla. Kila mmoja ako na namna ya kuishi, sababu fulani hakulwi na mumewe hadi hela na anajisifia eti na mie niige???? Huo ni uzwazwa!!!
Akili kumkichwa
Naona kama umetoka nje ya mada hivi, mada inazungumzia wanawake waolewee waache maisha ya usingle nakuchagua wanaume,Mtoa uzi naona umenikumbusha jambo fulani ambalo nilishawahi kunitokea humu.
Nilileta uzi humu wa kutafuta mchumba wa kwenda kuyajenga, baadhi yao wakanifata pm na hata kubafilishana namba za sim. Balaa lilikuja kwenye kutumia picha yaani kuniona tu alikatisha mawasiliano maana yake alijua atanikuta nipo kwenye jumba la kufahari. Yaani sijui hata nilimkera nini nilijitafakari sana. Mwengine alinuna baada ya kumwambia naona kibonge akaanza kuniuliza "kwani vibonge huwataki?" Nikamjibu kawaida basi na yeye akapotea ghafla kisa nimemwambia ni kibonge wala sikua na nia mbaya.
Kwa wafupi wanawake wengi wa humu wanaojipambanua hawana lolote, avatar unayokutana nayo hapa ukimuona mwenyewe yaani ni shida hata kumtambulisha kwa marafiki zako inashindikana kwa aibu.
Hahaaahaaaa......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Aah mdogo wangu watuache bwana, yaani hawa walioko kwenye ndoa walitegemea wao tu ndio watakuwa na furaha na sie wengine tutakuwa tuatembea na pichu kichwani sasa anapoona yeye aliyeolewa full stress af aliyeko singo anafurahia maisha inamuuma hatari
Hatari sana aiseeEti bila ndoa haupumuwi.....[emoji12] [emoji12]
Yaani bila kuolewa hata chakula hakipiti kooni.....[emoji13] [emoji13]
Hatari sana aiseeeee.......[emoji14] [emoji14]
Jf kuna raha za kila rangi....