Tulipigwa mjomba,na badoKati ya mwezi Machi na June Waziri wa Kilimo aling'ara sana na kuimarisha huduma za Kilimo Vijijini. Wengi tulimsifia kuwa anaupiga mwingi na yeye ndiye mfano kwa mawaziri wengine. Moja ya mikakati yake ilikuwa ni kuwa wezesha Maafisa Ugani na vitendea kazi kama Pikipiki, Vishkwambi na Vipima Udongo.
Mimi maeneo niliyopita sijakutana na hawa wataalamu na sasa ni miezi 6 yoka wamaegawa vifaa tajwa. Kama wewe kijijini kwako umewaona, tafadhali njoo hapa utoe ushuhuda.View attachment 2447736View attachment 2447735
Mimi nina declare interest. Siku zote nimekuwa supporter mkubwa wa Hussein Bashe kuanzia akiwa Mbunge, Naibu Waziri na sasa FULL Waziri.Kati ya mwezi Machi na June Waziri wa Kilimo aling'ara sana na kuimarisha huduma za Kilimo Vijijini. Wengi tulimsifia kuwa anaupiga mwingi na yeye ndiye mfano kwa mawaziri wengine. Moja ya mikakati yake ilikuwa ni kuwa wezesha Maafisa Ugani na vitendea kazi kama Pikipiki, Vishkwambi na Vipima Udongo.
Mimi maeneo niliyopita sijakutana na hawa wataalamu na sasa ni miezi 6 yoka wamaegawa vifaa tajwa. Kama wewe kijijini kwako umewaona, tafadhali njoo hapa utoe ushuhuda.
View attachment 2447736View attachment 2447735
Utaambiwa hawana fungu la pesa za mafuta na posho za hardship allowanceKati ya mwezi Machi na June Waziri wa Kilimo aling'ara sana na kuimarisha huduma za Kilimo Vijijini. Wengi tulimsifia kuwa anaupiga mwingi na yeye ndiye mfano kwa mawaziri wengine. Moja ya mikakati yake ilikuwa ni kuwa wezesha Maafisa Ugani na vitendea kazi kama Pikipiki, Vishkwambi na Vipima Udongo.
Mimi maeneo niliyopita sijakutana na hawa wataalamu na sasa ni miezi 6 yoka wamaegawa vifaa tajwa. Kama wewe kijijini kwako umewaona, tafadhali njoo hapa utoe ushuhuda.
View attachment 2447736View attachment 2447735
Hii ni kashfa kubwa tu sawa na kashfa nyingine za ufisadi. Natarajia tutayaonà haya kwenye ripoti ya CAG ya mwaka ujaoPikipiki wanapigia bodaboda usiku na kubebea michepuko.
Vishikwambi wanatumia kusifia wahuni wa kijani.
Kifupi hakuna matoke ya kile kilichotarajiwa.
#MaendeleoHayanaChama
Kama afanyavyo Lucas mwashambwa ...vishikwambi vinavitumika kufanyia uchawa kwa Ccm ktk mitandao mbalimbali.
Kati ya mwezi Machi na June Waziri wa Kilimo aling'ara sana na kuimarisha huduma za Kilimo Vijijini. Wengi tulimsifia kuwa anaupiga mwingi na yeye ndiye mfano kwa mawaziri wengine. Moja ya mikakati yake ilikuwa ni kuwa wezesha Maafisa Ugani na vitendea kazi kama Pikipiki, Vishkwambi na Vipima Udongo.
Mimi maeneo niliyopita sijakutana na hawa wataalamu na sasa ni miezi 6 yoka wamaegawa vifaa tajwa. Kama wewe kijijini kwako umewaona, tafadhali njoo hapa utoe ushuhuda.
View attachment 2447736View attachment 2447735
Wewe utakua ni mtanzania mjinga na mwenye roho mbaya. Malalamiko yako umeyafikisha wapi na kwa nani? Acha majunguPikipiki ndiyo hizi tunazoziona zimebeba mizigo ya kupeleka madukani mwa maafisa,huku zikiwa zimefunikwa plate numbers, tena muda wa kazi, zikishusha mzigo, ndiyo zinafunuliwa hizo plate number bers.
Kazi ipo sana.
Uko mkoa Gani? Kuna baadhi ya mikoa bado. Mfano Rukwa.Kati ya mwezi Machi na June Waziri wa Kilimo aling'ara sana na kuimarisha huduma za Kilimo Vijijini. Wengi tulimsifia kuwa anaupiga mwingi na yeye ndiye mfano kwa mawaziri wengine. Moja ya mikakati yake ilikuwa ni kuwa wezesha Maafisa Ugani na vitendea kazi kama Pikipiki, Vishkwambi na Vipima Udongo.