Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri mvua mnaziona wenyewe msiseme sikuwaambia, tupo kimara hapa
Sio mzee pia ujana unaishia 35Mzee ni 60 na kuendelea! Hata serikalini unastaafishwa kwa lazima! Labda kazi za siasa ambazo hupimwa kwa sera!
...Ndio Umeijua Leo Kegel ? Watu wanaijua Kitambo....Pole [emoji846]Habarini wanaume wenzangu
Huu uzi ni muhimu sana kwako wewe mwanaume ambaye uimara wako umepungua kunako 6x6.
Kunazoezi moja tu yaani moja tu linaleta suluhu ya kudumu na haraka isiyo na madhara. Zoezi hili ni kengel excercise, kwa kweli zoezi hili ni gumu balaaaa kulifanya ni kama unazuoa mkojo kutoka sasa unatakiwa ubane kwa muda wa vipindi tofauti tofauti.
Inakatisha tamaa eeéh ila nakufundisha njia rahisi sana ya kufanya
Lala chali kwenye mkeka, then kunja miguu yako na unyooshe mikono yako kuelekea kiunoni. Nyanyua kiuno chako juu kadri uwezavyo na bakia hapo kwa sekunde 10 then shusha, rudia rudia angalau kwa robo saa fanya kila siku asubuhi na jioni
Baada ya wiki njoo ulete mrejesho.