Kama umepoteza nguvu za kiume soma hapa

Kama umepoteza nguvu za kiume soma hapa

Sitaki tabu mimi, sijichoshi wala sichoshi mtoto wa mtu, tena sikuhizi najitahidi, ilikua nikimgusa tuu kwenye kibumunda...
Kitu mwaaaaah ,navaa nasepa..

Asaivi angalau naweza nika pump mara mbili.
 
Habarini wanaume wenzangu
Huu uzi ni muhimu sana kwako wewe mwanaume ambaye uimara wako umepungua kunako 6x6.
Kunazoezi moja tu yaani moja tu linaleta suluhu ya kudumu na haraka isiyo na madhara. Zoezi hili ni kengel excercise, kwa kweli zoezi hili ni gumu balaaaa kulifanya ni kama unazuoa mkojo kutoka sasa unatakiwa ubane kwa muda wa vipindi tofauti tofauti.
Inakatisha tamaa eeéh ila nakufundisha njia rahisi sana ya kufanya

Lala chali kwenye mkeka, then kunja miguu yako na unyooshe mikono yako kuelekea kiunoni. Nyanyua kiuno chako juu kadri uwezavyo na bakia hapo kwa sekunde 10 then shusha, rudia rudia angalau kwa robo saa fanya kila siku asubuhi na jioni
Baada ya wiki njoo ulete mrejesho.
...Ndio Umeijua Leo Kegel ? Watu wanaijua Kitambo....Pole [emoji846]
 
Back
Top Bottom