Uchaguzi 2020 Kama umeshindwa kutatua tatizo la Kahawa kwa miaka 5, utaweza sasa hivi?

Uchaguzi 2020 Kama umeshindwa kutatua tatizo la Kahawa kwa miaka 5, utaweza sasa hivi?

Kavurunda mazao yote ya biashara kwa sera zake za kijinga leo hii ataweza hapo atakuwa anawadanganya tu wakulima wa kahawa wa kagera maana jamaa anahusudu sana wizara aliyotokea na kuzarau wizara nyingine kwana kwamba wizara nyingine hazina umuhimu katika taifa letu
 
Amani iwe nanyi wandugu!!
Leo Magufuli akiwa Kagera ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la zao la kahawa Kagera!!! Labda tumuulize tu, alikuwa wapi siku zote?? Na utatuzi gani huo atakaowapatia wana Kagera kipindi hiki cha kampeni??
Serikali itanunua kahawa yote kama ilivyofanya kwa korosho
 
Miaka 5 hii mshikaji ni kama ameua kabisa kilimo. Mazao yote ya kilimo cha kibiashara ni kama yamekufa, korosho kila mtu anajua kilichotokea, pamba, kahawa, tumbaku, na mengine mengi.

Mbaya zaidi 80% ya wanyonge wanategemea hayo mazao ili waweze kuishi.

Ngoja tusubiri.
 
Amani iwe nanyi wandugu!!
Leo Magufuli akiwa Kagera ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la zao la kahawa Kagera!!! Labda tumuulize tu, alikuwa wapi siku zote?? Na utatuzi gani huo atakaowapatia wana Kagera kipindi hiki cha kampeni??
Hapo hakuna kitu, maana yeye siyo mnunuzi wa mazao hasa haya makubwa.

Soko la kahawa linategemea soko lipoje huko kwa mabeberu. Mabeberu ndiyo wanao amua soko litakuwaje.

Mbona kaliharibu soko la korosho hadi leo hii linayumba mara baada ya kujifanya anazinunua? Huu mwaka wa nne watu wanalia kule kusini.
 
Miaka 5 hii mshikaji ni kama ameua kabisa kilimo. Mazao yote ya kilimo cha kibiashara ni kama yamekufa, korosho kila mtu anajua kilichotokea, pamba, kahawa, tumbaku, na mengine mengi.

Mbaya zaidi 80% ya wanyonge wanategemea hayo mazao ili waweze kuishi.

Ngoja tusubiri.
Alafu kuna mijitu inashinda humu Eti Jiwe apewe tano tena!!!

Nchi hii ina wapuuzi sana hasa hawa wafuasi wa huyu Jiwe.
 
Inatosha miaka mitano,hakuna jambo linaloenda sawa kila sehemu ni vilio. Na yeye alishasema mara kadhaa kuwa kazi ya Urais ni ngumu, basi apumzike ameshachokwa pia
 
Kama alishindwa miaka 5 ndo aweze, leo wakaz wa bukoba walikashifiwa wakat janga la tetemeko. Eti kila janga lao huyo ndo mfaliji mkuu, daah hayo utayapata Tz tu
 
Amani iwe nanyi wandugu!!
Leo Magufuli akiwa Kagera ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la zao la kahawa Kagera!!! Labda tumuulize tu, alikuwa wapi siku zote?? Na utatuzi gani huo atakaowapatia wana Kagera kipindi hiki cha kampeni??
Shida yake hata hajui nini anasema bora kaongea,moto wa lissu umeleta kifafa kwenye kampeni zake
 
Back
Top Bottom