Uchaguzi 2020 Kama umeshindwa kutatua tatizo la Kahawa kwa miaka 5, utaweza sasa hivi?

Uchaguzi 2020 Kama umeshindwa kutatua tatizo la Kahawa kwa miaka 5, utaweza sasa hivi?

Huyu mzee hastahili kuendelea kuwepo ikulu hata kwa wiki tu. Ni kwa utaratibu tu inabidi tumtoe iyo Oktoba 28 kwa sanduku la kura
Afiti kuongoza Jamii ya watu walioelimika na kustaarabika, anatumia kanuni za kuongozea mifugo kuongozea watu.
 
Ukweli wa mungu Jpm akishinda miaka mitano hii watanzania tujiandae kunyanyaswa mpaka basi.Jpm ni kiongozi anayejali vitu na sio watu
 
Amani iwe nanyi wandugu!!
Leo Magufuli akiwa Kagera ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la zao la kahawa Kagera!!! Labda tumuulize tu, alikuwa wapi siku zote?? Na utatuzi gani huo atakaowapatia wana Kagera kipindi hiki cha kampeni??
Zaidi ya kujenga madaraja sidhani kama anaweza kutatua matatizo mengine ya watu.
 
Amani iwe nanyi wandugu!!
Leo Magufuli akiwa Kagera ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la zao la kahawa Kagera!!! Labda tumuulize tu, alikuwa wapi siku zote?? Na utatuzi gani huo atakaowapatia wana Kagera kipindi hiki cha kampeni??
Haya yote anayoahidi leo aliyaahidi 2015, alishindwa wapi na ni vipi ataweza?? Huyu mtu sio wa kuamini
 
Inatosha miaka mitano,hakuna jambo linaloenda sawa kila sehemu ni vilio. Na yeye alishasema mara kadhaa kuwa kazi ya Urais ni ngumu, basi apumzike ameshachokwa pia
Jpm amefeli sana
 
Back
Top Bottom