Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Huyu jamaa anatuona watanzania mandezi sana. Ndo mana anachota tu hela pale hazina na ndugu yake Doto James na kampuni yao Mayanga ConstructionWatanzania wamefanywa Mazezeta na CCM
Kwenye kutaifisha tena kwa kutumia jeshi ndo anaweza. Sio kutafuta masoko na kukuza biasharaHii ni danganya toto hawezi muwongo mkubwa huyu. Anachoweza ni udikteta wa kukwmata na kutaifisha kahawa zetu.
Huyu mzee hastahili kuendelea kuwepo ikulu hata kwa wiki tu. Ni kwa utaratibu tu inabidi tumtoe iyo Oktoba 28 kwa sanduku la kuraSikuwaletea tetemeko,
Sirikali itakuwa inauza huko,ili ipate cha juuWe fikiria Uganda kilo moja 4000 lakin Tanzania serikali inanunua kilo moja 1000.
Kwa nini magendo yasiwepo.
Serikali itanunua kahawa yote kama ilivyofanya kwa koroshoAmani iwe nanyi wandugu!!
Leo Magufuli akiwa Kagera ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la zao la kahawa Kagera!!! Labda tumuulize tu, alikuwa wapi siku zote?? Na utatuzi gani huo atakaowapatia wana Kagera kipindi hiki cha kampeni??
Hapo hakuna kitu, maana yeye siyo mnunuzi wa mazao hasa haya makubwa.Amani iwe nanyi wandugu!!
Leo Magufuli akiwa Kagera ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la zao la kahawa Kagera!!! Labda tumuulize tu, alikuwa wapi siku zote?? Na utatuzi gani huo atakaowapatia wana Kagera kipindi hiki cha kampeni??
Serikali watakuwa wanaoiga sanaWe fikiria Uganda kilo moja 4000 lakin Tanzania serikali inanunua kilo moja 1000.
Kwa nini magendo yasiwepo.
Alafu kuna mijitu inashinda humu Eti Jiwe apewe tano tena!!!Miaka 5 hii mshikaji ni kama ameua kabisa kilimo. Mazao yote ya kilimo cha kibiashara ni kama yamekufa, korosho kila mtu anajua kilichotokea, pamba, kahawa, tumbaku, na mengine mengi.
Mbaya zaidi 80% ya wanyonge wanategemea hayo mazao ili waweze kuishi.
Ngoja tusubiri.
Hawajielewi hao wanapewa tu senti 5 waandike hayoAlafu kuna mijitu inashinda humu Eti Jiwe apewe tano tena!!!
Nchi hii ina wapuuzi sana hasa hawa wafuasi wa huyu Jiwe.
Hafai huyu jamaa!!! Anatuona wajinga sana sieJiwe ni laana kwa nchi yetu
Shida yake hata hajui nini anasema bora kaongea,moto wa lissu umeleta kifafa kwenye kampeni zakeAmani iwe nanyi wandugu!!