Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Nimekaa sehemu nimesikiliza professor mmoja mmbobezi wa somo la Development studies kwa kifupi DS.
Akijikita kuwaeleza wananchi ambao tayari wananchi hao wana mkataba huo mbovu mkononi. Kuwa mkataba huo waliyoushika mkononi unatija wakati ni mbovu.
Mimi binafsi naona ni usaliti ubinafsi, wizi na ufisadi na kujishushia heshima ambayo kwa miaka mingi alijitahidi kuijenga.
Siyeye pekee naona ni wasomi wengi wa kodi za wananchi wapotosha vitu mbali mbali tu.
Wasomi wote watuombe msamaha wananchi na waende kwenye nyumba za ibada kutubu.