Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Uanataka tuseme ni ya "baba yako"?Kwani hii nchi ya baba yako?
Inakela sana yani. Kuna watu hata ukiwakuta sehemu unawaangalia tu hata salamu unaoa haiwafai.
Hiyo ni comment unaona ni Sawa?Kwani hii nchi ya baba yako?
Inakela sana yani. Kuna watu hata ukiwakuta sehemu unawaangalia tu hata salamu unaoa haiwafai.
Bora KUPOTOSHA lakini Viongozi wamesoma kwa KODI na Bado ni MAFISADI kwa KUIBA Kodi za WananchiNimekaa sehemu nimesikiliza professor mmoja mmbobezi wa somo la Development studies kwa kifupi DS.
Akijikita kuwaeleza wananchi ambao tayari wananchi hao wana mkataba huo mbovu mkononi. Kuwa mkataba huo waliyoushika mkononi unatija wakati ni mbovu.
Mimi binafsi naona ni usaliti ubinafsi, wizi na ufisadi na kujishushia heshima ambayo kwa miaka mingi alijitahidi kuijenga.
Siyeye pekee naona ni wasomi wengi wa kodi za wananchi wapotosha vitu mbali mbali tu.
Wasomi wote watuombe msamaha wananchi na waende kwenye nyumba za ibada kutubu.
Professor ameshachukua advanceNimekaa sehemu nimesikiliza professor mmoja mmbobezi wa somo la Development studies kwa kifupi DS.
Akijikita kuwaeleza wananchi ambao tayari wananchi hao wana mkataba huo mbovu mkononi. Kuwa mkataba huo waliyoushika mkononi unatija wakati ni mbovu.
Mimi binafsi naona ni usaliti ubinafsi, wizi na ufisadi na kujishushia heshima ambayo kwa miaka mingi alijitahidi kuijenga.
Siyeye pekee naona ni wasomi wengi wa kodi za wananchi wapotosha vitu mbali mbali tu.
Wasomi wote watuombe msamaha wananchi na waende kwenye nyumba za ibada kutubu.
Ni kitu cha ajabu professor kuchukua mlungulaProfessor ameshachukua advance
NjaaNi kitu cha ajabu professor kuchukua mlungula
Professor ana njaa je mkulima?Njaa
Hii nchi Mimi ni mmoja wamiliki wa nchiKwani hii nchi ya baba yako?