Kama umesoma kwenye moja ya hizi university hapa wewe ni mwamba

Kama umesoma kwenye moja ya hizi university hapa wewe ni mwamba

Hivyo vya kimarekani kasoro UC Berkley na U Chicago vina watanzania kadhaa kwasababu vinatoa sana ufadhili.

Hivyo vya UK walivioshea kina nyerere enzi za ukoloni sasa hivi hakuna ufadhili, watu wanasoma masters kwa uchache sana.
Masters za UK ni mwaka tu kwahiyo unakuwa kama umeonjeshwa na kupata kozi nzito nzito ni ngumu.
 
Duh, uliwezaje mkuu kufanya maombi au ulisoma hizi international schools
Nilipata GRADUATE SCHOOL fully funded scholarship mpaka nikamaliza nikarudi bongo enzi ya MUSSA wakati huo nchi ilikuwa na uzalendo!! Nilipata kazi kule lakini nikaamua kurudi kutokana na mafunzo ya mwalimu kuwa "" SISI TULIOPATA BAHATI YA ELIMU WAKATI HUO NI SAWA NA MWANAKIJIJI KUTOKA KIJIJI CHENYE NJAA ANAETUMWA KWENDA KUCHUKUA CHAKULA, ASIPORUDI KULETA CHAKULA ATAKUWA AMEWASALITI WANAKIJIJI WENZAKE HIVYO ATAKUWA MSALITI" Haya maneno yaliwafanya waTanganyika wengi waliokwenda kusoma nje wakati ule warudi nyumbani!
 
Nilipata GRADUATE SCHOOL fully funded scholarship mpaka nikamaliza nikarudi bongo enzi ya MUSSA wakati huo nchi ilikuwa na uzalendo!! Nilipata kazi kule lakini nikaamua kurudu kutokana na mafunzo ya mwalimu kuwa "" SISI TULIOPATA BAHATI YA ELIMU WAKATI HUO NI SAWA NA MWANAKIJIJI KUTOKA KIJIJI CHENYE NJAA ANAETUMWA KWENDA KUCHUKUA CHAKULA, ASIPORUDI KULETA CHAKULA ATAKUWA AMEWASALITI WANAKIJIJI WENZAKE HIVYO ATAKUWA MSALITI" Haya maneno yaliwafanya waTanganyika wengi waliokwenda kusoma nje wakati ule warudi nyumbani!
Hongera mkuu kwa kuhitimu chuo cha ivy league.

Hata sasa hivi naona vijana wanamaliza vyuo vikubwa huko na wanarudi, japo inataka moyo sana.
 
Back
Top Bottom