Kama umesoma kwenye moja ya hizi university hapa wewe ni mwamba

Kama umesoma kwenye moja ya hizi university hapa wewe ni mwamba

Hongera mkuu kwa kuhitimu chuo cha ivy league.

Hata sasa hivi naona vijana wanamaliza vyuo vikubwa huko na wanarudi, japo inataka moyo sana.

Kweli wapo mmoja mmoja Kama wakina MUBYAZI kutoka Stanford tunao hapa wanapigwa danadana lakini wanavumilia!! Wakina Fernandes wameona afadhali wakahemee nchi jirani, bongo sio rafiki!
 
Sumaye alifanya Masters yake Havad ana umwamba gani sasa?
Sumaye hakuwa admitted hapo kwa sababu ya academic standing.

Alichokipata hapo ni kama vile elimu ya watu wazima ilivyokuwaga.

Hivyo, chochote alichokipata hapo hakina ujiko kama ule wa kuwa admitted na kusomea shahada ya kwanza hapo ambapo ili kupata admission, unashindanishwa na vipanga waliopiga ma 1,600 ACT scores.

Hata Swizz Beats alipata mafunzo flani flani hapo Harvard yanayofanana na hayo aliyopata Sumaye.
 
Back
Top Bottom