mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Hawa wana sheria yao ya "swim or sink"—wanapokea wanafunzi wengi kwasababu hawana ada kwahiyo wanawachuja ipasavyo kwa mitihani migumu. 50% hawamalizi.Ongeza ETH Zurich (Switzerland). Ni top ranked.
😀😀😀😭😭nje ya mada hivi zile sabuni za imperial ndo zimetengenezwa na wahitimu wa hicho chuo namba 2? si ndio Red black
UDSM ndo kama Harvard ya bongo.Sijagusa hata moja hapo niliishia udsm tu 2010 tu hapo
Labda kama unamaanisha umwamba wa kumudu gharama zake! Wapo vilaza wengi tu waliosoma hivyo vyuo. Unakumbuka a few years ago kulikuwa na kashfa kubwa ya college admissions iliyohusisha Ivy League schools?
Hongera mkuu kwa kuhitimu chuo cha ivy league.
Hata sasa hivi naona vijana wanamaliza vyuo vikubwa huko na wanarudi, japo inataka moyo sana.
Mkuu umesahau Yale na I
Usio penyekaMwamba wa nini mkuu...?
Nadhani unamzungumzia GHARIB BILAL mzee wa kukata utepeSema hizo elimu kubwa za nje kuna namna hazisaidii mazingira ya huku ya kifisadi.
Andrew Chenge ana LLM kutoka Harvard cheki scandal alizopata.
Unaweza kuamini Dr. Mohamed Bilal ana MA na PhD za fizikia kutoka UC Berkley! Dah.
Nina wafahamu WaTZ na Wakufunzi kadhaa wa UDSM wamesoma baadhi ya hivyo vyuo wengi ni Machawa, Wanasiasa ambao ndio majizi makubwa na wafundishaji notise za Mwaka 1959 hadi leoHivyo vyuo vinatoa wasomi wanao isaidia dunia ktk nyanja kibao sio udsm inazalicha vichaa
Sio vichaa tu inazalisha machawa wa ccm.Hivyo vyuo vinatoa wasomi wanao isaidia dunia ktk nyanja kibao sio udsm inazalicha vichaa
Sumaye hakuwa admitted hapo kwa sababu ya academic standing.Sumaye alifanya Masters yake Havad ana umwamba gani sasa?
Dah! We umesoma kipi?
Wale wa Stanford tujuane hapa
Hivi Maghayo Mgerasi Busu la Kenge amefika elimu ya chuo kikuu kweli ?Kwahiyo wasomi kutoka chuo kikuu cha saut cha st Augustine unawambiaje?