Kama umeukaribisha mwaka mpya wa 2025 Kwa kunyonya Uume au Uke inapaswa utambue umeshajipalia Mikosi ya mwaka mzima!

Naigopa sana ile chupa yake sijawahi onja...
😹😹😹
Ina ladha km ya dawa ya kifua, nna shosti yangu anamix na energy..!!
Halafu taifa linamtegemea ila mambo yake ya hovyo sana!!
Anasemaga anapiga hiyo siku akipanda mahakamani kwenye kesi ngumu ngumu 😹😹😹

Na mimi nikaonja nikajikuta namsomea mashtaka da kiboga 🤣
 
Ya kuna rafiki yangu ananiambiaga tamu ina ladha ya dawa ya kifua...hapana chupa yake tu nikiiona nahisi nimeshalewa,nisije anza kuchamba watu bure kama wewe🤣🤣
 
Sawa kama una umke mlete naye watu wale kachabari ili hiyo mikosi iwe mingi zaidi
 
Naunga mkono hoja.
 
Kuna jamaa nimemkuta sehem anasema ila tarehe moja alizindua mwaka kwa punyeto moja kali sana. sijui kama atakua yuko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…