Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
😹😹😹Naigopa sana ile chupa yake sijawahi onja...
Ina ladha km ya dawa ya kifua, nna shosti yangu anamix na energy..!!
Halafu taifa linamtegemea ila mambo yake ya hovyo sana!!
Anasemaga anapiga hiyo siku akipanda mahakamani kwenye kesi ngumu ngumu 😹😹😹
Na mimi nikaonja nikajikuta namsomea mashtaka da kiboga 🤣