Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Sawa mkuuu haya mambo ya kawaida mbn povuuu
 
umenikumbusha best yangu yuko USA,kila tukienda hotelini kula;hatukuwahi kulipa...hadi nikazoeeaa..
Nashangaa wengine mapovu waƙat vitu vya kawaida tu vya kujifurahisha
 
Stick nimeiba Sana kipindi Niko chuo yani tukienda kula tunabeba
[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]yan sio ya kuuliza tena maisha ya chuoo lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…