Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Kwa wizi huo wa mashuka na vitambaa siku ukija kufanikiwa maishani basi jua litakuwa linachomozea west na kuzamia east..

Chenge anaiba bil 1 wewe unaiba mashuka mawili..
Tibaijuka anatumia mil 10 za wizi kununulia mboga wewe unaiba sabuni gest...

Kama umeamua kuwa mwizi iba vitu vya maana kama magari , vamia benki (lkn usiue)

Kama huwezi bora usiwe mwizi uwe raia mwema tu kama watu wengine na sio kujidharirisha hivyo
Sawa mkuuu haya mambo ya kawaida mbn povuuu
 
Mm ipo hotel dodoma nilipitaga na ɓlanket mpaka naogopa kurud hiyo hotel labda watanikamata

64cd532ec500052aeba832deb6676b07.jpg


Hizi nmerudi nazo last week nina miezi mingi sijanunua sabuni ya kuogea
 
umenikumbusha best yangu yuko USA,kila tukienda hotelini kula;hatukuwahi kulipa...hadi nikazoeeaa..
Nashangaa wengine mapovu waƙat vitu vya kawaida tu vya kujifurahisha
 
Back
Top Bottom