Hipolitetz
Member
- Nov 21, 2016
- 44
- 36
Kila mtu anakula urefu wa kamba yakeKwa wizi huo wa mashuka na vitambaa siku ukija kufanikiwa maishani basi jua litakuwa linachomozea west na kuzamia east..
Chenge anaiba bil 1 wewe unaiba mashuka mawili..
Tibaijuka anatumia mil 10 za wizi kununulia mboga wewe unaiba sabuni gest...
Kama umeamua kuwa mwizi iba vitu vya maana kama magari , vamia benki (lkn usiue)
Kama huwezi bora usiwe mwizi uwe raia mwema tu kama watu wengine na sio kujidharirisha hivyo
Ukiruɗ dom uje Malaika pub unigaieee utanikuta nasuɓir ƙupitia glass za wine nikupe unipe saɓun
ninq guest dar njoo uibe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kweli lakini ni bora kuwa raia mwema tu kama urefu wa kamba yako ni wizi wa mashuka na sabuni[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kila mtu anakula urefu wa kamba yake
Humu jf kuna majambazi kabisa Mungu wanguNiljifunika shuka la kimasai alaf nimebeba mgongoni kama mtoto