Hipolitetz
Member
- Nov 21, 2016
- 44
- 36
Kila mtu anakula urefu wa kamba yakeKwa wizi huo wa mashuka na vitambaa siku ukija kufanikiwa maishani basi jua litakuwa linachomozea west na kuzamia east..
Chenge anaiba bil 1 wewe unaiba mashuka mawili..
Tibaijuka anatumia mil 10 za wizi kununulia mboga wewe unaiba sabuni gest...
Kama umeamua kuwa mwizi iba vitu vya maana kama magari , vamia benki (lkn usiue)
Kama huwezi bora usiwe mwizi uwe raia mwema tu kama watu wengine na sio kujidharirisha hivyo