Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah, inauma sana, Ila hapa inawezekana hata sio uchawi Ila Ni roho mbaya za watu wa karibu yako waliweka sumu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuh mm ndo sina story ya uchawi tu, ila niliota nachishwa kazi na kweli ikatokea ndani ya mwaka huo huo, sijawahi kupata jibu hadi leo ni kwa nn niote harafu itokee

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikuambia,Mungu anasema na sisi kwa kupitia ndoto,na shetani anajitahidi kupitia njia hiyo
Wewe Mungu alikupa maono kwa njia ya ndoto,kuwa utaachishwa kazi
Ilitakiwa kuomba sana Mungu na kukemea na kufuta hizo taarifa kwa damu ya Yesu
Trust me ingekuwa history tu ya ndoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2010 mkoani dar es salaam maeneo ya xxx kuna mzee mmoja alikua anaogopeka sana Kwa ushirikina alikua na mbuzi wake beberu alimpenda kweli kweli kiasi hata akiingia kwenye shamba lako inabidi ukimbilie kumwambia mwenye mbuzi ndio anakuja kumtoa au mpaka mbuzi aondoke mwenyewe ukijifanya mjuaji na kumfukuza mbuzi Kwa kutumia nguvu utakipata cha moto.
Kuna siku kuna jamaa alimkuta huyo mbuzi shambani kwakwe akachukua fimbo kwenda kumfukuza alivyo karibia kumchapa tu paaaaaap jamaa akaganda huku mbuzi akialibu mazao zaidi mpaka mwenye mbuzi alipo kuja akamgusa .

Kuna siku jamaa mmoja kutoka mbeya alimnunua yule mbuzi Kwa kupitia kijana wa mzee pasi na mzee kupewa taarifa baada ya kusafiri alipo rejea nyumbani hakumkuta mbuzi wake mzee alikasilika sana . mzee akafanya mambo mbuzi alirudi siku hiyo hiyo yule jamaa aliyemnunua mbuzi akarudi kuomba msamaha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliwekewa sumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mzee alifaa kula virungu huko ni kusumbua watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msamaha wanini? Narudi kuchukua mbuzi wangu
 
Ndumba ni pesa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…