Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Wakuu, kuna dawa ya kimasai demu yeyote achomoi, kipindi nasoma form six bagamoyo nilikuwa na jamaa angu mmasai alikuwa akiwachapa sana hawa dada zetu. Jamaa alimla mpaka head mistress wetu.

Jamaa alikuwa anapaka dawa moja ya unga unga anachanganya na maji yaani akijipaka demu yeyote hachomoi hata Beyonce, nina shuhuda nyingi sana.

Swali langu wangapi humu walishawahi kutumia ndumba kuwavuta mademu?

Sent using Jamii Forums mobile app
umekunywa chai leo??
amka unakaribia kukojoa kitandani
 
Huyu Beyonce unaemtaja ni huyu huyu wa Buza au kuna mwingine?
Wakuu, kuna dawa ya kimasai demu yeyote achomoi, kipindi nasoma form six bagamoyo nilikuwa na jamaa angu mmasai alikuwa akiwachapa sana hawa dada zetu. Jamaa alimla mpaka head mistress wetu.

Jamaa alikuwa anapaka dawa moja ya unga unga anachanganya na maji yaani akijipaka demu yeyote hachomoi hata Beyonce, nina shuhuda nyingi sana.

Swali langu wangapi humu walishawahi kutumia ndumba kuwavuta mademu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm naijua hii ndio mpango mzima
IMG-20200312-WA0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine ilikuwa ni corona mkuu
Nakumbuka 2006 niliugua Sana kichwa huku nikihisi baridi Kali Kama ile ya malaria. Wazazi wangu walizunguka na Mimi hospitali nyingi tu lakini kila wakipima hawaoni ugonjwa lakini Hali yangu Ni mbaya kwelikweli.
Kama hujawahi kuuguliwa huwezi kwenda Kienyeji maana Hakuna utachokifata. Wazazi wangu waliamua kunirudisha nyumbani lakini hali ilivyozidi kuwa mbaya wakaamua kunipeleka gereji. Gereji ya Kwanza fundi alifeli, kesho yake tukaenda gereji nyingine fundi Ni mama wa makamo. Alileta spana zake akaanza kazi, aisee nilipona hapohapo nikawa mzima.
Mpaka Sasa naamini ushirikina upo bila msaada wa Mungu kupitia yule Mmama wangenipoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, kuna dawa ya kimasai demu yeyote achomoi, kipindi nasoma form six bagamoyo nilikuwa na jamaa angu mmasai alikuwa akiwachapa sana hawa dada zetu. Jamaa alimla mpaka head mistress wetu.

Jamaa alikuwa anapaka dawa moja ya unga unga anachanganya na maji yaani akijipaka demu yeyote hachomoi hata Beyonce, nina shuhuda nyingi sana.

Swali langu wangapi humu walishawahi kutumia ndumba kuwavuta mademu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uchawi upo 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom