deivzedward
Member
- Oct 21, 2013
- 19
- 17
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuongee bei mkuu
umekunywa chai leo??Wakuu, kuna dawa ya kimasai demu yeyote achomoi, kipindi nasoma form six bagamoyo nilikuwa na jamaa angu mmasai alikuwa akiwachapa sana hawa dada zetu. Jamaa alimla mpaka head mistress wetu.
Jamaa alikuwa anapaka dawa moja ya unga unga anachanganya na maji yaani akijipaka demu yeyote hachomoi hata Beyonce, nina shuhuda nyingi sana.
Swali langu wangapi humu walishawahi kutumia ndumba kuwavuta mademu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nilipo shwari kabisa, hali ya hewa inapendeza huku ndege angani wakiimba na kufurahi.Lenie nipo Zenji hapa, safari za ndege kutokea italy zimezuiwa sababu ya corona athari za kiuchumi zimeanza kuonekana, mahoteli ni matupu kabisa. Hapo ulipo Vipi?
Wakuu, kuna dawa ya kimasai demu yeyote achomoi, kipindi nasoma form six bagamoyo nilikuwa na jamaa angu mmasai alikuwa akiwachapa sana hawa dada zetu. Jamaa alimla mpaka head mistress wetu.
Jamaa alikuwa anapaka dawa moja ya unga unga anachanganya na maji yaani akijipaka demu yeyote hachomoi hata Beyonce, nina shuhuda nyingi sana.
Swali langu wangapi humu walishawahi kutumia ndumba kuwavuta mademu?
Sent using Jamii Forums mobile app
haswaaaa☺☺
Nakumbuka 2006 niliugua Sana kichwa huku nikihisi baridi Kali Kama ile ya malaria. Wazazi wangu walizunguka na Mimi hospitali nyingi tu lakini kila wakipima hawaoni ugonjwa lakini Hali yangu Ni mbaya kwelikweli.
Kama hujawahi kuuguliwa huwezi kwenda Kienyeji maana Hakuna utachokifata. Wazazi wangu waliamua kunirudisha nyumbani lakini hali ilivyozidi kuwa mbaya wakaamua kunipeleka gereji. Gereji ya Kwanza fundi alifeli, kesho yake tukaenda gereji nyingine fundi Ni mama wa makamo. Alileta spana zake akaanza kazi, aisee nilipona hapohapo nikawa mzima.
Mpaka Sasa naamini ushirikina upo bila msaada wa Mungu kupitia yule Mmama wangenipoteza.
Ni hiv...ukishauamini ndyo unakutesa.uchawi unatesa familia nyingi sana barani africa na ndo chanzo kikuu cha umasikini wakupindukia, tusali sana wakuu hii dunia ni nzito sana
😂😂😂😂
Huu uchawi upo 100%Wakuu, kuna dawa ya kimasai demu yeyote achomoi, kipindi nasoma form six bagamoyo nilikuwa na jamaa angu mmasai alikuwa akiwachapa sana hawa dada zetu. Jamaa alimla mpaka head mistress wetu.