Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Aisee
Biashala ina mambo mengi ndugu uchawi ktk biashala upo nakupa kisa kimoja hivi miaka ya nyuma nilifanya biashala ya duka maeneo ya kwa mkandawile huko nikawa nikiweka mtaji biashala nauza vizuri ila hela jioni siioni nikajiongeza mana pale kulikuwa na waha wanauza hao mpk basi basi nikaenda sehemu kwa mzee mmoja kule Kunduchi yy ni marehemu kwa sasa akaniangalia nyota akasema inabidi kazi yako tuifanye siku ya j5 kulingana na ulivyo ila apatikane kuku mweupe ambaye tutatoa damu yake kweli nikaacha hela ya kuku pale nikaondoka siku nimefika akafanya mambo yake na akanichanja chale kadhaa mwilini yule mzee ni mha akaniambia nakupa hii azima kaiweke dukani kwako huyo ni jini atakuwa anakujazia bidhaa pale dukani na ndio wafanyabiashala wakubwa wanamtumia akanipa na masharti kadhaa basi nakumbuka nilikimbiza pale ila nilikuja kukosea sharti moja kila kitu kikafa ila tangu hapo hakuna ninachofanya kikaenda sawa tena mpk sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah, inauma sana, Ila hapa inawezekana hata sio uchawi Ila Ni roho mbaya za watu wa karibu yako waliweka sumu
Kisa kingine niliweka Bwala la kufugia samaki na kuweka samaki aina ya kambale kama elfu 3 hivi...na walikuwa wanaendelea vizuri sana kiasi kwamba nikaanza kuipangia budget pesa ya kuwauza kabla hata sijavua....siku zikaenda na ikafika wakawa wakubwa sana na wapo tayari kuwavua.....siku moja kabla ya kuwavua nikaenda kwenye bwana na nikawatoa samaki kama 10 hivi wawe sample kwa mteja niliyempata ili akawaone.... mteja alifurahi sana akase.a atachukua samaki wote ila sasa kesho yake atakuja kuwafuata by saa 4 hivi ili akawauze na tulipane.... imefika kesho yake muda wa saa 3 hivi tukaanza kuona samaki wanaelea...ile kushuka majini kuangalia...dahhh hamna siku nimeumia kama ile maana nilikuta samaki wotee bwawani wamekufa na wengine wameoza kabisa wakti jana walikuwa wazima... hawa wachawi walaaniwe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuh mm ndo sina story ya uchawi tu, ila niliota nachishwa kazi na kweli ikatokea ndani ya mwaka huo huo, sijawahi kupata jibu hadi leo ni kwa nn niote harafu itokee

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikuambia,Mungu anasema na sisi kwa kupitia ndoto,na shetani anajitahidi kupitia njia hiyo
Wewe Mungu alikupa maono kwa njia ya ndoto,kuwa utaachishwa kazi
Ilitakiwa kuomba sana Mungu na kukemea na kufuta hizo taarifa kwa damu ya Yesu
Trust me ingekuwa history tu ya ndoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2010 mkoani dar es salaam maeneo ya xxx kuna mzee mmoja alikua anaogopeka sana Kwa ushirikina alikua na mbuzi wake beberu alimpenda kweli kweli kiasi hata akiingia kwenye shamba lako inabidi ukimbilie kumwambia mwenye mbuzi ndio anakuja kumtoa au mpaka mbuzi aondoke mwenyewe ukijifanya mjuaji na kumfukuza mbuzi Kwa kutumia nguvu utakipata cha moto.
Kuna siku kuna jamaa alimkuta huyo mbuzi shambani kwakwe akachukua fimbo kwenda kumfukuza alivyo karibia kumchapa tu paaaaaap jamaa akaganda huku mbuzi akialibu mazao zaidi mpaka mwenye mbuzi alipo kuja akamgusa .

Kuna siku jamaa mmoja kutoka mbeya alimnunua yule mbuzi Kwa kupitia kijana wa mzee pasi na mzee kupewa taarifa baada ya kusafiri alipo rejea nyumbani hakumkuta mbuzi wake mzee alikasilika sana . mzee akafanya mambo mbuzi alirudi siku hiyo hiyo yule jamaa aliyemnunua mbuzi akarudi kuomba msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa kingine niliweka Bwala la kufugia samaki na kuweka samaki aina ya kambale kama elfu 3 hivi...na walikuwa wanaendelea vizuri sana kiasi kwamba nikaanza kuipangia budget pesa ya kuwauza kabla hata sijavua....siku zikaenda na ikafika wakawa wakubwa sana na wapo tayari kuwavua.....siku moja kabla ya kuwavua nikaenda kwenye bwana na nikawatoa samaki kama 10 hivi wawe sample kwa mteja niliyempata ili akawaone.... mteja alifurahi sana akase.a atachukua samaki wote ila sasa kesho yake atakuja kuwafuata by saa 4 hivi ili akawauze na tulipane.... imefika kesho yake muda wa saa 3 hivi tukaanza kuona samaki wanaelea...ile kushuka majini kuangalia...dahhh hamna siku nimeumia kama ile maana nilikuta samaki wotee bwawani wamekufa na wengine wameoza kabisa wakti jana walikuwa wazima... hawa wachawi walaaniwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliwekewa sumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2010 mkoani dar es salaam maeneo ya xxx kuna mzee mmoja alikua anaogopeka sana Kwa ushirikina alikua na mbuzi wake beberu alimpenda kweli kweli kiasi hata akiingia kwenye shamba lako inabidi ukimbilie kumwambia mwenye mbuzi ndio anakuja kumtoa au mpaka mbuzi aondoke mwenyewe ukijifanya mjuaji na kumfukuza mbuzi Kwa kutumia nguvu utakipata cha moto.
Kuna siku kuna jamaa alimkuta huyo mbuzi shambani kwakwe akachukua fimbo kwenda kumfukuza alivyo karibia kumchapa tu paaaaaap jamaa akaganda huku mbuzi akialibu mazao zaidi mpaka mwenye mbuzi alipo kuja akamgusa .

Kuna siku jamaa mmoja kutoka mbeya alimnunua yule mbuzi Kwa kupitia kijana wa mzee pasi na mzee kupewa taarifa baada ya kusafiri alipo rejea nyumbani hakumkuta mbuzi wake mzee alikasilika sana . mzee akafanya mambo mbuzi alirudi siku hiyo hiyo yule jamaa aliyemnunua mbuzi akarudi kuomba msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mzee alifaa kula virungu huko ni kusumbua watu.

Msamaha wanini? Narudi kuchukua mbuzi wangu
 
Ndumba ni pesa tu
Wakuu, kuna dawa ya kimasai demu yeyote achomoi, kipindi nasoma form six bagamoyo nilikuwa na jamaa angu mmasai alikuwa akiwachapa sana hawa dada zetu. Jamaa alimla mpaka head mistress wetu.

Jamaa alikuwa anapaka dawa moja ya unga unga anachanganya na maji yaani akijipaka demu yeyote hachomoi hata Beyonce, nina shuhuda nyingi sana.

Swali langu wangapi humu walishawahi kutumia ndumba kuwavuta mademu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom