Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako


Waganga wanatumia details kama nguo za ndan , kucha, nywele, majina kamili na wengine hupiga ramli na kupata info zote za kitu au mtu anayemtaka.

Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kwenda Tanga kwa mara ya kwanza kufanya ushirikina, nilienda tu kwa kuwa Rafiki yangu alishaenda pia akafanikiwa mambo yake.

Kutokana na tatizo langu kuwa kubwa kiasi , mganga aliniambia natakiwa kufanya kafara ya mbuzi , Bahati nzuri nilikua na vijisenti, nitatoa kafara , nikafanyiwa visomo pamoja na mambo mengine mengi ya kishirikina

Kwa kweli nilikua Naona mambo ya ajabu kwa kuwa ushirikina nilikua nauona kwenye movie tu .

Basi baada ya kutoka Tanga nikarudi home , ndan Ya siku Tatu tu , haja yangu ile ile niliyoitaka ikaja kwa njia ya ajabu mno, nakumbuka usiku wa ile siku sikulala kabisa , nikawa nawaza kumbe uchawi upo ?

Basi toka miaka hiyo had leo maisha yangu ni ushirikina tu na sijawahi kujuta kwa kweli wala kutapeliwa, labda kwa kuwa mtu aliyenipeleka huko ni mshirikina sana na ameenda sehem nyingi so anajua mganga yupi mzuri.

Ila kitu kimoja ukishaingia kwenye ulimwengu wa giza, roho ya kibinadamu inakutoka, mtu akikuudhi kidogo tu unaweza hat kumdhuru au kumtoa roho kwa ushirikina

Ogopa sana kugombana na watu hovyo, wengine wana nguvu za kiroho , unajikuta unagombana nao, wao wanaenda kukumaliza kwenye ulimwengu wa roho , tena hawakuumizi wala nini, wanakuacha uishi ila kwenye ulimwengu wa roho wameshakuua, hat ufanye nini huwez kufanikiwa.





Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uchawi hauitaji details, uchawi unataka sababu tu mtu akipata sababu hata ya kukusababishia unakwenda na maji. Anaweza akaja kukuomba chumvi kile kitendo cha kumnyima tu ni sababu tosha, '' ''tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu''.

Umenivunja mbavu mkuu[emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umenitisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamn mbavu zangu, lkn ukatae ukubali matajiri wanapitia mapito mengi xn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahan kwa kusema hili. Mkuu bado, ujawajua waganga, source ya nguvu zao.

Hayo maubani, manukatato nk, ukisoma bible utakutana nayo sana.

Incase hujawahi kujuzwa au unachukulia ni uongo. Wachawi na waganga ni kambi moja.
 
Daaahhhh aiseee hii imenitishaaa katika visa vyote kisa hiki ni nomaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahan kwa kusema hili. Mkuu bado, ujawajua waganga, source ya nguvu zao.

Hayo maubani, manukatato nk, ukisoma bible utakutana nayo sana.

Incase hujawahi kujuzwa au unachukulia ni uongo. Wachawi na waganga ni kambi moja.
Ile ni teknolojia ya kale. Uchawi na uganga unatumika pia kutambua magonjwa yaliyoshindikana hospitalini. Kuhusu kuroga hiyo ni matumizi mabaya ya uchawi. Kama unavyoona ndezi wanawauzia mafuta waumini mazwazwa. Manabii wa uongo wasikufanye udai kuwa manabii wote ni kanjanja.
 
Scratch a hero....!!?
 
Ndio maana wanao kutukana hapa Jf huwa unawachek tuu na kujisemea kimoyo moyo nyie watoto wadogo bado hamjayajua maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
et hata ufanye nn uwezi kufanikiwa!![emoji38][emoji38] YESU anafungua, hakuna uchawi kumzidi yeye...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
....wakisha kuua katika ulimwengu wa kiroho-...hakuna njia ya kujinasua ?!...just curious to know

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naomba shea hicho kisa nikisome
 
et hata ufanye nn uwezi kufanikiwa!![emoji38][emoji38] YESU anafungua, hakuna uchawi kumzidi yeye...

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli, ukiwa na imani Kali sana , na usiwe na dhambi , ila ushirikina una nguvu sana

Usichukulie poa nguvu za giza , Mimi nimejionea nyie mnasikia tu kwa watu[emoji16]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…