Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Yule mwamba jooohs akisimulia lazima ucheke anajua kupangilia sana visa na mikasa 😁
 
Aiseeee [emoji33]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mura[emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora kajifia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stori matata sana. Tatizo mkuu unachukua miezi kuja kuendeleza kisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wengi wananitumia PM kuomba namba za waganga. Ila hakuna hata mmoja ambaye nimempa, Coz nafsi yangu bado haijaridhia kumpa mtu yeyote iwe bure au kwa pesa. Halafu muwe makini sana na watu wanaowapa namba za waganga humu, mtaishiwa kutapeliwa na kupelekwa sehemu sio .

Nakumbuka kuna kipindi nilikua so desperate na waganga, nilihangaika sana yani kumpata mtu wa kunielekeza huko kwa mda mrefu. Mpaka ikabidi niombe dua hili nipate mtu sahihi kwa kunipeleka kwa waganga.

Mungu sio athumani, akaniunganisha na mtu sahihi aliyetimiza tamaa ya moyo yangu , tamaa ya kufanya ushirikina.

So ushauri wangu , watu wajaribu kutulia na kuongea na nafsi zao na kuomba, kama ni kweli ni kitu wanachokitaka kukifanya, basi watakipata tu kwa njia yeyote, wala hautahitaji nguvu. Roho zetu siku zote zinasikiliza tamaa zetu na kutupatia kile kinachostahili.

Mimi naweza kukupa namba za waganga nilioenda na bado usifanikiwe, so ni bora ukambana wewe mwenyewe kutafuta kile unachokitaka, pambana usikate tamaa.

Mimi ninachojua na nilichojifunza katika haya maisha , Watu wengi wakubwa hapa Duniani, wamefanikiwa kwa nguvu za shetani, inshort shetani ndie anayemiliki hii dunia , tutake tusitake.

Kitu kingine ambacho nilikua sikijui, kumbe kuna watu Tupo nao hapa duniani wanaenda kuongeza mda wa kuishi hapa duniani kwa nguvu za giza

Na kwa kuongezea tu , ni kweli nguvu za giza zipo , na zinatenda kazi .


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Taarifa nusu nusu hii...
Kama hili la kuongeza miaka sidhani kama ni possible,labda kama wanakuonyesha muda ambao adui angekufyeka then wanakusogeza
 
Warumi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma post nyingi ila huyu jamaa ameniumiza mbavu kwa kucheka, daahh!!
 
Mkuu unaweza omba 400 ikawezekana?Au ongezeko lina gharama kubwa?

Acha ufala bwana ... kuna watu wanaishi kwa kutojiamini, especially the most powerful ones, wana hofu ya kuuliwa, kuugua au kufa mda wowote, so wao huenda kuomba kinga na kuwasaidia waishi maisha marefu (65-100) watu wenngi hawafikishi hii miaka,ni wachache mno, zaidi ya hapo lazima ufe tu , so nadhan utakua umeelewa kidogo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu warumi naona unaufahanu mzuri wa maeneo, ya tiba za Asili. Nina issue yangu, natamani nikupm, Ila hapa Jamvini Ni mgeni kiasi, sijaijua procedure za kuPM.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aiseh , Njoo nikupe namba bure, ila ukirudi usisite kutoa mrejesho humu humu , karibu inbox


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Njoo pm


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yep, nimeelewa sana time hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…