Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako


Shukran sana binamu , mi nipo tu ukiwa free nichek tupige story mbili tatu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Hii ni kweli mimi pia mama yangu alinihadithia babu yao alizeeka mno mpk akawa wa kutoa nje apigwe na jua na kurudishwa ndani...alizeeka hadi akaanza kuoza km mfu akawatuma baadhi ya wajukuu zake milimani wakaleta miti flani na dawa nyingine akaomba wamchanje ili afe kwani asingefanywa hvy angeendeles kuwa hai ilihali amechoka na kazeeka mno! Walivyomfanyia hvy kwa matakwa yk mama anasema mida ya jioni usiku wake alifariki! Anakwsmbia alivyokua kijana alikua na mali nyingi na mifugo hvy alijikinga asife mapema ili alinde vitu vyk matokeo yk ikawa hvy.
 
Kuna mzee mmoja nae alifariki mwaka jana maeneo fulani uku usukumani nae alikua kashaoza ila kufa hafi na niliambiwa alikua kachanjiwa madawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!hapo kuongeza muda mkuu !
 
Tatizo wengi matapeli si kama mtu hataki kwenda
 
 

Millennials hawajui mambo mengi , tumejikita zaidi na Dini za wazungu , tunasahau asili zetu, maisha ya mababu zetu, mambo kama haya hawawez kukuamin, lol


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Got you very well
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi I think hulogwa kisa chuki na wivu,but my Bibi alizeeka mno Hadi akachoka kuishi akawa anaomba afe na hafi, ingawa yeye alikuwaga mtu wa Sala Sana aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…