warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Warumi nami nakuja nataka dawa ya corona
Ahahaah aiseh hatar
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warumi nami nakuja nataka dawa ya corona
Binamu una madin mengi sana aitheee dats y I wish 1 day tuonane tupige story mbil tatu about maisha
Mi naamin uchawi upo sababu nipo karibu sana na boss wangu kuna baadhi ya mambo anafanya mpaka najihisi vibaya bt kwa nje mtu flan iv wakawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayar check pm yako broAhahaah aiseh hatar
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu ni kweli,vifo Vinci tunavyovishudia hivi Leo ,vingi si vile Mungu katupangia,kumbuka Mungu katuahidi 70-80 years ,hivyo Mungu hawezi kuwa mwongo kwa ahadi zake
Hivyo vifo vingi huwa ni mipango ya nguvu hasi (nguvu za Giza) so kuna namna ya kutumia dawa ili kukuepusha na nguvu basi,na kukufanya uzeeke
Kuna bibi frani huwa ni naye mazoea na ni mtaalamu wa madawa ya asili sana,ukimwangilia yuko na 100+ years na bado yuko ngangali,kuna siku kaniambia mjukuu wangu nataka nikuchanje dawa ya kutokufa mapema ili ufikie umri wa uzee,lakini alinitahadharisha kuwa ni mateso hii ni kulingana na yeye anavyoteseka kwani ana wish afe ili apumzike kwani amechoka kuishi
Hivyo nihitimishe tu kuwa dawa za kuongeza umri zipo na zinafanya kazi sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mzee mmoja nae alifariki mwaka jana maeneo fulani uku usukumani nae alikua kashaoza ila kufa hafi na niliambiwa alikua kachanjiwa madawaHii ni kweli mimi pia mama yangu alinihadithia babu yao alizeeka mno mpk akawa wa kutoa nje apigwe na jua na kurudishwa ndani...alizeeka hadi akaanza kuoza km mfu akawatuma baadhi ya wajukuu zake milimani wakaleta miti flani na dawa nyingine akaomba wamchanje ili afe kwani asingefanywa hvy angeendeles kuwa hai ilihali amechoka na kazeeka mno! Walivyomfanyia hvy kwa matakwa yk mama anasema mida ya jioni usiku wake alifariki! Anakwsmbia alivyokua kijana alikua na mali nyingi na mifugo hvy alijikinga asife mapema ili alinde vitu vyk matokeo yk ikawa hvy.
Kuna mzee mmoja nae alifariki mwaka jana maeneo fulani uku usukumani nae alikua kashaoza ila kufa hafi na niliambiwa alikua kachanjiwa madawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah nakaja kuokolewa na mchawiUmeona sasa , mlokole na bado anarogwa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Duh!hapo kuongeza muda mkuu !Kuna watu wengi wananitumia PM kuomba namba za waganga. Ila hakuna hata mmoja ambaye nimempa, Coz nafsi yangu bado haijaridhia kumpa mtu yeyote iwe bure au kwa pesa. Halafu muwe makini sana na watu wanaowapa namba za waganga humu, mtaishiwa kutapeliwa na kupelekwa sehemu sio .
Nakumbuka kuna kipindi nilikua so desperate na waganga, nilihangaika sana yani kumpata mtu wa kunielekeza huko kwa mda mrefu. Mpaka ikabidi niombe dua hili nipate mtu sahihi kwa kunipeleka kwa waganga.
Mungu sio athumani, akaniunganisha na mtu sahihi aliyetimiza tamaa ya moyo yangu , tamaa ya kufanya ushirikina.
So ushauri wangu , watu wajaribu kutulia na kuongea na nafsi zao na kuomba, kama ni kweli ni kitu wanachokitaka kukifanya, basi watakipata tu kwa njia yeyote, wala hautahitaji nguvu. Roho zetu siku zote zinasikiliza tamaa zetu na kutupatia kile kinachostahili.
Mimi naweza kukupa namba za waganga nilioenda na bado usifanikiwe, so ni bora ukambana wewe mwenyewe kutafuta kile unachokitaka, pambana usikate tamaa.
Mimi ninachojua na nilichojifunza katika haya maisha , Watu wengi wakubwa hapa Duniani, wamefanikiwa kwa nguvu za shetani, inshort shetani ndie anayemiliki hii dunia , tutake tusitake.
Kitu kingine ambacho nilikua sikijui, kumbe kuna watu Tupo nao hapa duniani wanaenda kuongeza mda wa kuishi hapa duniani kwa nguvu za giza
Na kwa kuongezea tu , ni kweli nguvu za giza zipo , na zinatenda kazi .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo wengi matapeli si kama mtu hataki kwendaTusifanye maisha ya hapa duniani yawe magumu. Ukiona mambo yamekua magumu sana , jaribu upande mwingine tu , kuna watu wanahangaika sana kwenye haya maisha , kuna watu wana laana Kali hapa duniani , sasa usipokua mjanja na kuhangaika sehemu mbali mbali , utakufa na laana zako , na hizo laana zitaendelea kuathiri kizazi hadi kizazi.
Ukiona mambo hayaendi kwenye imani yako , basi jaribu kwingine, ukiwa ns mentality Sijui kwenda kwa mganga dhambi , umekaa ukajiuliza una dhambi ngap mpaka apo ulipo? ,
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ila kama umejipanga zaidi, nakushauri huende hata kwa waganga watatu tofauti huko huko... mi nikienda huwa nakaa wiki Nzima, napitia waganga kama sita hivi [emoji16]
Waganga Wengine ukifika tu kituon ukiwauliza madereva boda boda watakuambia sehem nzuri, Tanga kuna wachawi, nikutakie kila la kheri na mafanikio.
, huyo niliyekupa anakupigia ramli, anakusafisha mwili na kukupandisha nyota, ukitoka hapo majiran zako watakujua we ni nani[emoji23].
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hii ni kweli mimi pia mama yangu alinihadithia babu yao alizeeka mno mpk akawa wa kutoa nje apigwe na jua na kurudishwa ndani...alizeeka hadi akaanza kuoza km mfu akawatuma baadhi ya wajukuu zake milimani wakaleta miti flani na dawa nyingine akaomba wamchanje ili afe kwani asingefanywa hvy angeendeles kuwa hai ilihali amechoka na kazeeka mno! Walivyomfanyia hvy kwa matakwa yk mama anasema mida ya jioni usiku wake alifariki! Anakwsmbia alivyokua kijana alikua na mali nyingi na mifugo hvy alijikinga asife mapema ili alinde vitu vyk matokeo yk ikawa hvy.
Yah nakaja kuokolewa na mchawi
Ila kama upo huku aisee na ww utakuja kajanja mno,huchelew kuniwekea madawa nikuoe
Mzee baba tayar checkAhahah inahuzunisha na Inachekesha at the same time , Dah
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ahahah inahuzunisha na Inachekesha at the same time , Dah
Sent from my iPhone using JamiiForums
Vifo asilimia nyingi vya watu husababishwa na watu sio asilia, so wengi huenda kujilinda kwa waganga na hivyo vifo na Yes kuongeza umri wa kuishi, lakini sio zaidi ya ule Mungu alioupanga mwanadamu kuishi (120).
Kuongeza umri namaanisha kinga, hawezi kudhuliwa na vitu vya ajabu ajabu au vifo vya kupangiwa na wanadamu. Utaishi as long as pale Mungu atakapoamua kukuchukuq
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu ni kweli,vifo Vinci tunavyovishudia hivi Leo ,vingi si vile Mungu katupangia,kumbuka Mungu katuahidi 70-80 years ,hivyo Mungu hawezi kuwa mwongo kwa ahadi zake
Hivyo vifo vingi huwa ni mipango ya nguvu hasi (nguvu za Giza) so kuna namna ya kutumia dawa ili kukuepusha na nguvu basi,na kukufanya uzeeke
Kuna bibi frani huwa ni naye mazoea na ni mtaalamu wa madawa ya asili sana,ukimwangilia yuko na 100+ years na bado yuko ngangali,kuna siku kaniambia mjukuu wangu nataka nikuchanje dawa ya kutokufa mapema ili ufikie umri wa uzee,lakini alinitahadharisha kuwa ni mateso hii ni kulingana na yeye anavyoteseka kwani ana wish afe ili apumzike kwani amechoka kuishi
Hivyo nihitimishe tu kuwa dawa za kuongeza umri zipo na zinafanya kazi sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hii story yani tunamlazimisha huyu mtu hadi basi[emoji23][emoji23],au kama vp aifungulie uzi mmoja iwe kama ya member wa kuitwa joohs ya nguvu za gizajerrybanks story yako imeishia mlipoenda kupanda mtumbwi muende Congo ukiendeleza story naomba nitag please.
Sent using Jamii Forums mobile app