Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Mnamo tarehe 04.10.2020 majira ya saa 04:45 Am nikitokea Tunduma kuelekea Vwawa mkoa wa Songwe nilipata ajali mbaya sana ya gari.Chanzo cha ajali hiyo hadi leo sijakifahamu kabisa ila nikiwa kwenye gari kabla ya ajali kutokea usoni nilipigwa na giza nene sana kiasi kwamba nilikuwa sioni chchote mbele yangu,ni ngumu kuamini hili lakini ni tukio ambalo kama na mimi ningekuwa ni mtu mwepesi nafikiri kwa sasa ningekuwa naongea mengine uchawi upo sana Tanzania.
 
Nipe
 
Ulifanikiwa WATOTO?
 
Pole sana. Miaka 9 hujagundua duh
 
Kama uchawi upo kweli naamini upo,

Siku hiyo tunaandika wapiga kula kijiji fulani kinaitwa chokaa,kata ya rundugai , bwanaweee kwenye kupita nyumba kuomba tulilaze lili BVRmachine sio ndio kukutana nguo zimeanikwa zinaning'inia ila kamba haionekani
Kata ya rundugai sehemu gani? Mkoa na kijiji
 
Dah bro wako yeye kuzimia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ulikuwa speed sana?
 
Niligombani demu na kijana mwenzangu anaitwa Abdallah K....A...

Jamaa akaniahidi kuwa NITAMUACHA tu huyo demu....

Ikawa kila nikimnanihii SHORTY anawashwa na kuvimba mwili kwa wiki nzima....

Jamaa akawa anamwambia demu kuwa AMEMTENGENEZA VYA KUTOSHA...

Man...nilimuacha Yule mtoto...

Then lijamaa LIKAMUOA MKE WA PILI....

Watu wachawi jamani looh
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Vip kwa sasa je mambo ni yale yale? Acha hicho chumba
 
Lakini maisha yako yameanza kubadilika au yapo vile vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…