Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Mmh
 
Ila kununua Malaya ni hatari sana
 
Hivi kigoma na sumbawanga wapi kuna uchawi hatari
Uchawi unarofautiana na vitu vingi sana Kigoma kuna combination ya Congo Kigoma na Burundi. Sumbawanga sijajua umepakana na wapi ila additional ya Kigoma kuna Mlango wa kuzmu pale Kibirizi hii inaongeza sifa ua upekee
 
nilikuwa field/internship ya sheria mkoa fulani hivi, mapolisi wakaenda kumkamata jamaa fulani kijijini, polisi mmoja kama kawaida yao akampiga teke la kawaida tu wala sio la nguvu (inavyosemekana), jamaa hakuumia wala nini, ila polisi pale kwenye ugoko mfupa ulivunjika kabisa hadi leo hivi ninavyoongea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu mrejesho wa hii story ulimaliziaga?
 
Nimekutana na matukio kadhaa katika maisha yangu na mpaka Leo naamini wachawi/washirikina ni viumbe wapuuzi! Sitasahau mwaka kati ya 2012-2014 mkoani Tanga, enzi hizo nikiwa bachela na nikiishi peke yangu,basi bhana nimepika msosi usiku nikala,chakula kilichobaki nikakifunika vizuri Kwa mfuniko mgumu wa bati! Laula! kesho asubuhi nafunua sufuria nipashe chakula kile nikakuta vinyesi vya panya!,nilishangaa na kustaajabu sana maana nyumba niliyokuwa naishi haikuwa na panya na mfuniko niliukuta uko vilevile ukiwa umefunika chakula. Sikula ule ubwabwa wangu ila niliapa hakutakuwa na mchawi Wala mshirikina atakayenichezea Mimi Wala Kizazi changu! Unapokutana na matukio kama haya mubashara mshukuru Mungu sana maana amekuamini na Kuna jambo anataka akufundishe! Inawezekana kabisa Mungu aliamua kuwaumbua washirikina/wachawi Kwa kufanya vinyesi vile vionekane Kwa macho ya nyama( maana wao hutenda katika ulimwengu usioonekana) ili nikiona nisikitumie chakula kile nikadhurika!
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…