Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Sio unavyoamini ww basi waafrika waamini.
Na ndo maana dunia nzima matajiri wachache masikini wa kutosha.
Utajiri upo kwa waaminio tuu sio wasomi.
Na siku yakikukuta ndo utajua why kuna miungu mingine tofauti na hiyo waliyoileta hao jamaa watengeneza silaha zinazotumia na binaadamu kuua watu
Mimi ni mwafrika huenda kupita wewe.
Najua makaburi wa babu yangu wa 12 hapa hapa Tanzania.

Hio siku ya mimi kujua kuna Mungu mwingine haitofika
Mungu ni mmoja tu.
Mwenye uwezo wote.

We endelea kuamini wachawi. Utapata hasara mwenyewe.
 
Kingine kilwa huko kulikua na kazi ya kukwangua barabara jamaa kakalia greda anapiga kazi akafika mtoto akamwambia babu kanituma anaomba mnunulie sukari,dereva aka mtoa nduki dogo basi baada ya muda akafika mzee pale akamwabia nilimtuma mjukuu wangu nina shida ya sukari dereva akamwabia sina hela mzee akaondoka,dk 0 greda likazima hangaika haliwaki akaita fundi,fundi kufika pale fungua hamna tatizo,washa haliwaki.Fundi akamuuliza dereva hujagombana na mtu kweli hapa?Dereva akamwabia kuna mzee alitaka nimnunulie sukari nika kataa akamwambia mnunulie haraka hili dude sio bovu dereva ikabidi amtafute yule mzee akamuomba mzee sukari sijapata lakini chukua hela hii kanunue mzee kashukiru kurudi kwenye greda washa likawaka.
 
CCM Ni chama chankichawi kiroho!

Na vyama pinzani pia Kwa mujibu was wazee was chama,hao wazee ndio wenye chama.na walianzisha wao!!

Zipo dalili za ukombozi hapo mbele tutapata ccm takatifu inayojali maslahi ya watz na mwenyekiti wake atakua mcha mungu aliewekwa na mungu!!
dalili zipi hizo ndg? Tufumbue tafadhari, kwamaana hawa .....
 
Wacha weeeeee, lichawi na liwakala la Ibilisi linatuset huku JF kuwa hakuna uchawi wala Mungu ili litushughulikie. Hunipati ng'ooooooo
Mimi ni Muumin wa MUNGU MMOJA TU. asie na mfano.
Muweza wa kila kitu.
Mfalme asie na mipaka.
Mwenye kila sifa njema. Na hana kasoro wala hafanani na viumbe wake kwa chochote.
Huyo ndio MLINZI WANGU MKUU.
Wewe kama unaamini wachawi endelea tu lkn hasara utapata wewe zaidi ya hao wachawi.
 
Kingine kilwa huko kulikua na kazi ya kukwangua barabara jamaa kakalia greda anapiga kazi akafika mtoto akamwambia babu kanituma anaomba mnunulie sukari,dereva aka mtoa nduki dogo basi baada ya muda akafika mzee pale akamwabia nilimtuma mjukuu wangu nina shida ya sukari dereva akamwabia sina hela mzee akaondoka,dk 0 greda likazima hangaika haliwaki akaita fundi,fundi kufika pale fungua hamna tatizo,washa haliwaki.Fundi akamuuliza dereva hujagombana na mtu kweli hapa?Dereva akamwabia kuna mzee alitaka nimnunulie sukari nika kataa akamwambia mnunulie haraka hili dude sio bovu dereva ikabidi amtafute yule mzee akamuomba mzee sukari sijapata lakini chukua hela hii kanunue mzee kashukiru kurudi kwenye greda washa likawaka.
Story km hizi zote mnahadithiwa tu.
Nikikwambia umtafute huyo dereva au huyo babu hutoweza hata siku moja maana yake hakuna cha babu wala bibi bali ni Story za kijiweni.
Acheni imani za kijinga.
Ndio maana wengi mnadai mmerogwa kumbe una malaria au utapiamlo.

Pigeni kazi watanzania.
Taifa halihitaji watu wajinga wajinga wanaoamini Bundi na paka mweusi ni nuksi.
Mnarudisha maendeleo ya taifa nyuma
 
CCM Ni chama chankichawi kiroho!

Na vyama pinzani pia Kwa mujibu was wazee was chama,hao wazee ndio wenye chama.na walianzisha wao!!

Zipo dalili za ukombozi hapo mbele tutapata ccm takatifu inayojali maslahi ya watz na mwenyekiti wake atakua mcha mungu aliewekwa na mungu!!
Hakuna kiongozi yyt anaewekwa ktk nafasi hio bila Ruksa ya Mungu.
Hata hao viongozi wabaya Mungu ndio karuhusu wawepo walipo.

Achana na imani za kishirikina.
Wachawi wangekuwa na uwezo wa kumpa mtu cheo leo Africa tungekuwa na marais wa ajabu mno na Dunia isingekalika.

This is 2024. Piga kazi kijana.
Achana na vikao vya kahawa siku nzima. Hakuna faida humo.
 
labda nikupe connection ya fundi tu jamaa fundi amefanikiwa hadi kumpa mmoja wa mawaziri uwaziri ni noma huyo alafu hana tamaa ukifanikiwa ndio unaenda kumshukuru
naomba connection hiyo na mimi🙏
 
labda nikupe connection ya fundi tu jamaa fundi amefanikiwa hadi kumpa mmoja wa mawaziri uwaziri ni noma huyo alafu hana tamaa ukifanikiwa ndio unaenda kumshukuru
Sasa we Mtumie ujumbe kuwa hatumtaki makonda serikalini na Tundu Lissy awe Rais. Akifanikiwa Hilo nikute inbox nimjengee Huyo fundi nyumba masaki na wewe ya kwako itakuwa pale mbezi beach.
Unasemaje?
 
naomba connection hiyo na mimi
Sasa we fanya utume kwanza km laki 1 ya kusafisha njia.
Kisha tunahitaji ng'ombe wa mabaka meusi na meupe wale wa kisasa.
Asipungue kilo 200 uzito wake.
Shuka 1 nyeusi.
Moja ya kijani.
Na moja ya blue
Na mchanga wa makaburini.

Kisha bila hata wewe kusema shida yako utapata majibu.
Utakuja kutulipa ukifanikiwa.
 
wanasema mwezi wa Ramadhani wachawi na majini huwa wanafungiwa ama kuwa likizo.

kisa cha kwanza ni mwezi huo huo wa Ramadhani, tulikuwa kijijini, kwa sasa ni mji, Morogoro wilaya ya Mvomero kwa sasa, ilikuwa ni kipindi cha likizo, Brother ameenda chooni, kujisaidia haja kubwa, choo hakikuwa na umeme akawa anatumia mwanga unaotokana na mbalamwezi, lakini baada ya kukata gogo, kabla hajachukua kopo, akasikia anatawazwa, yaan ghafla tu anasikia mkono pyaa umepita unamchambisha, Brother alitoka na mlango.
 
😁😁😁 kushikwa tako siyo mchezo wa kuvumilia.
 
😂😂😂Mtanifanya nisiende chooni Leo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣 Dah!

Ova
 
Muwe macho kuna duka fulani liko maeneo ya mnazi mmoja hilo duka ni jembamba ila ni refu kwa ndani kama mita 35 hivi urefu, ukiingia upande wa kushoto kuna mashelfu halafu njia, katikati kuna meza ndefu mwanzo mwisho, upande mwingine wa meza hakuna kuingia ni eneo la kupita na kukaa wenye duka. Kwa mbele mwisho ni kama kuna vyumba. Piga picha ya korido moja pana kiasi refu. Nimeeingia natafuta spana ndogo namba 10. Nilipoingia ndani nikakaribishwa na kijana wa kazi mbantu mwenzangu katikati alikaa mtu wa miaka 40s hivi amekalia hiyo meza ndefu kumwelekea mkewe ambae alikaa kwenye kiti na ana vitabu vya duka risiti n.k. Wao ni asili ya waarabu ila sio wale weupe sana. Binti alikuwa na sura nzuri ya mviringo uso mpole, alivaa nguo ya rangi ya njano njano mix light brown imefunika mpaka nywele,ila uso unaonekana wote.

Nilipoingia yule mfanyakazi akatafuta spana pale mwanzoni mwa duka zile shelfu za kushoto ikaonekana ameikosa, akasogea mbele kuingia ndani zaidi na mimi nikamfuata akaanza kupekua box jingine anatafuta hiyo spana ndogo akaikosa tena, akazidi kuzama mbele ndani ya duka mimi nikamwacha aende akipata hiyo spana aniletee, yule mfanyakazi alipoona simfuati akasema njoo nikasogea kumfuata
Ina maana sasa mlango mdogo wa kuingilia umefunga hii milango ya kioo. Ndani tuko wanne. Wakati ana pekua au anazuga kupekua box nyingine kutafuta spana ghafla nikaona kama niko sehemu ya hatari kwani upepo sijui ulitoka wapi sababu duka halina madirisha ila mwanga wa kutosha upo. Yaani paa liko juu sana hata sehemu nyingine kutoa bidhaa inabidi ngazi.
Ule upepo ukanizunguka kama kimbunga kinavyozunguka ila wenyewe ulinizunguka mimi tu wala hakuna karatasi iliyotimuliwa. Sekunde mbili tatu nne nikasahau hata kama nafanya nini mle hata yule kijana nikamsahau, ile kitu iliyokuja na upepo ilikuja na roho au hali fulani hivi, hii hali mara nyingi watu wana ihisi wakipita makaburini hasa usiku, mimi ni mlokole.

Palepale nikajua niko kwenye mapambano na majini, nikajikaza kuikataa "panic" na hofu ambayo ilinianza kwa kasi, nikatulia ndani ya nafsi, nikaikemea kwa Jina la Yesu ile roho au hicho kitu kimoyo moyo kitokomee mbali
Ile hali ikaondoka ghafla kama ilivyokuja.

Ila nilipata mtikisiko na mapigo ya moyo yalizidi.

Pale pale nikasema Asante Yesu kimoyo moyo.

Ilipoondoka tu ile hali yule mfanyakazi nikasikia ana niita akanipa ile spana na 10 chrome. Inaelekea alijua kilichotokea, na mimi sikumwambia kitu na kwa nje nilikuwa niko fresh kabisa nimetulia, sikuonesha kama nimepats mtafaruku fulani.

Ikabidi niende kulipa kwa yule dada aliyekaa pale mezani.

Nilitembea taratibu kwa kujiamini baada ya kuona kumbe Yesu amenitetea na hawa wafuga majini hawana lolote na hawawezi kunifanya kitu, hawana
hiyo power na power yangu katika Yesu imewashinda na nimeshinda vita kubwa.

Nilichoshangaa alianza kuniangalia toka napewa spana mpaka nafika kwake kwa mshangao na alikuwa hapepesi macho kabisa. Akanipa risiti akaendelea kunikazia macho natoka nageuka nyuma kumtazama nakuta yuko na mimi tu mpaka nikahisi huenda huyu binti sio binadamu wa kawaida sio rahisi kumkazia mtu macho muda wote ule bila kope kucheza, nikampotezea.

Mme wake alikuwa anamtazama mke wake kwa tabasamu fulani hivi hana habari na mimi.
Toka nimeingia na kutoka niliongea na mfanyakazi tu.
Picha niliyiopata pale ni kwamba lile duka watu wanatolewa kafara, na yule mfanyakazi anashirikiana na wale watu mwanzo mwisho. Ni neema tu ya Mungu iliniponya, ingawa huwa siondoki nyumbani bila kuomba full ulinzi wa Majeshi ya Mungu.

Na walengwa naona ni mtu anayeingia peke yake, sababu akipotea humo hakuna atakaejua. Nimeacha vielelezo vingi ambavyo nikitaja hapa kila mtu aliyepita uhuru rd ataliju hilo duka.

Sijapita tena pale ila namshukuru Mungu kwa kunipa kuniokoa. Bila Yesu pale ningeliwa nyama najiona huyu anakata paja huyu kidole, damu yangu wangekunywa juice.
Nataka niende tena pale pale kucheki kama yule jamaa pale mlangoni atanikumbuka, nitaulizia spana tena. Ila safari hii nitajipanga wakileta majini yao tena, kunidaka maana majini hayakati tamaa. nitawasambaratisha wao na majini yao,itakuwa mwisho wa biashara za majini. Itakuwa bonge la showdown.
Thank you Jesus

Matukio:2023

Ushuhuda namba. 2

Kule shambani ninakolima ni kijiji hakuna umeme na network taabu sana. Sasa nilikuwa nafuatilia kwa bidii simbank ya TCB nivute hela nilete halotel nikaitoe. Mchana kutwa napata msg server down.

Nikaamua kuamka saa nane usiku, nilifikiri muda huo server itakuwa haina jam kama mchana, nikatoka nje mita kama 60 hivi nje ya kambi yangu. Kule nyumba ziko mbalimbali sana, giza nene. Nikawasha simu janja yangu nifanye muamala ghafla mtu ambae haonekani akanigusa begani kushoto kama ananistua kitu.

Kugeuka nyuma hakuna mtu. Nikadharau nikaendelea na muamala. Hii ni Mwezi march, mwaka 2024

USHUHUDA NA.3
Hii ilitokes muda nazani 2022, ni kisa kifupi ila kilinitetemesha.

Kama umepitia hapo juu nimesema mi nikitoka nyumbani lazima niombe FULL ulinzi Mungu anilinde. Naomba muda mfupi ila ni "deep" prayer.
Siku hiyo wakati nafanya maombi nikahisi kwenye nafsi kama kuna kitu nitakutana nacho leo ila sikuweza ku "pinpoint" ni kitu gani hasa. Basi sababu nimejikabidhi kwa Muumba nikaondoka kwa imani, nikawashs pikipiki yangu baja kuelekea gongolamboto.

Pale gongolamboto kama unafikia kituo cha mombasa kuns mteremko "down" upande wa kulis ni makaburi.

Niko na baja yangu mbele kuna daladala sio coaster ni basi kubwa liko mwendo sio kasi sana ila huwezi kupanda au kuteremka kwa mwendo ule.

Ghafla nikaona mbele yangu ametelemka kwa staili ya utingo wa daladala likiwa kwenye mwendo bila kupunguza dada mmoja mweusi kavaa form six nyeusi na jeans nyeusi iliyotumika au hali yake kama zile mitumba nywele fupi kama za kiume hajasuka na raba, miaka nakisia kama 25 hivi.

Kilichonishangaza alishuka kwa ustadi halafu akaanza kukaza macho yake kuuangalia ule mfereji wa maji wa cement upande wa kushoto ule ule alioteremkia, kama kuna kitu kakiona pale. Halafu gari inaendelea akavuka upande wa pili kuelekea upande wenye makaburi. Ila nilimwona anavuka nilikuwa naendesha pikipiki sikuweza kumfuatilia.

Sasa alipoanza kuvuka tu ile gari ikaanza kuyumba kuyumba sana halafu ikaangukia kushoto ikajipiga kwenye ule mfereji aliokuwa anauangalia yule binti.Ina maana tairi za kushoto zote ziliingia na konda kams hakuwai kutoks mlangoni sijui ilikuwaje.

Palepale nikakuta naunganisha hilo tukio na ile hali niliyokutana nayo wakati nafanya maombi kabla sijatoka.

Lile tukio lilinisumbua kichwani nikitafuta ufumbuzi.

Nikapata nafasi ya kumuuliza dereva mmoja wa daladala nilikuwa nimekaa mbele kabisa tulipofika hapo nilipompa mkanda huo akasema tu kwa kifupi yule dada niliyemwona hakuwa mtu.
 
Muwe macho kuna duka fulani liko maeneo ya mnazi mmoja hilo duka ni jembamba ila ni refu kwa ndani kama mita 35 hivi urefu, ukiingia upande wa kushoto kuna mashelfu halafu njia, katikati kuna meza ndefu mwanzo mwisho, upande mwingine wa meza hakuna kuingia ni eneo la kupita na kukaa wenye duka. Kwa mbele mwisho ni kama kuna vyumba. Piga picha ya korido moja pana kiasi refu. Nimeeingia natafuta spana ndogo namba 10. Nilipoingia ndani nikakaribishwa na kijana wa kazi mbantu mwenzangu katikati alikaa mtu wa miaka 40s hivi amekalia hiyo meza ndefu kumwelekea mkewe ambae alikaa kwenye kiti na ana vitabu vya duka risiti n.k. Wao ni asili ya waarabu ila sio wale weupe sana. Binti alikuwa na sura nzuri ya mviringo uso mpole, alivaa nguo ya rangi ya njano njano mix light brown imefunika mpaka nywele,ila uso unaonekana wote.

Nilipoingia yule mfanyakazi akatafuta spana pale mwanzoni mwa duka zile shelfu za kushoto ikaonekana ameikosa, akasogea mbele kuingia ndani zaidi na mimi nikamfuata akaanza kupekua box jingine anatafuta hiyo spana ndogo akaikosa tena, akazidi kuzama mbele ndani ya duka mimi nikamwacha aende akipata hiyo spana aniletee, yule mfanyakazi alipoona simfuati akasema njoo nikasogea kumfuata
Ina maana sasa mlango mdogo wa kuingilia umefunga hii milango ya kioo. Ndani tuko wanne. Wakati ana pekua au anazuga kupekua box nyingine kutafuta spana ghafla nikaona kama niko sehemu ya hatari kwani upepo sijui ulitoka wapi sababu duka halina madirisha ila mwanga wa kutosha upo. Yaani paa liko juu sana hata sehemu nyingine kutoa bidhaa inabidi ngazi.
Ule upepo ukanizunguka kama kimbunga kinavyozunguka ila wenyewe ulinizunguka mimi tu wala hakuna karatasi iliyotimuliwa. Sekunde mbili tatu nne nikasahau hata kama nafanya nini mle hata yule kijana nikamsahau, ile kitu iliyokuja na upepo ilikuja na roho au hali fulani hivi, hii hali mara nyingi watu wana ihisi wakipita makaburini hasa usiku, mimi ni mlokole.

Palepale nikajua niko kwenye mapambano na majini, nikajikaza kuikataa "panic" na hofu ambayo ilinianza kwa kasi, nikatulia ndani ya nafsi, nikaikemea kwa Jina la Yesu ile roho au hicho kitu kimoyo moyo kitokomee mbali
Ile hali ikaondoka ghafla kama ilivyokuja.

Ila nilipata mtikisiko na mapigo ya moyo yalizidi.

Pale pale nikasema Asante Yesu kimoyo moyo.

Ilipoondoka tu ile hali yule mfanyakazi nikasikia ana niita akanipa ile spana na 10 chrome. Inaelekea alijua kilichotokea, na mimi sikumwambia kitu na kwa nje nilikuwa niko fresh kabisa nimetulia, sikuonesha kama nimepats mtafaruku fulani.

Ikabidi niende kulipa kwa yule dada aliyekaa pale mezani.

Nilitembea taratibu kwa kujiamini baada ya kuona kumbe Yesu amenitetea na hawa wafuga majini hawana lolote na hawawezi kunifanya kitu, hawana
hiyo power na power yangu katika Yesu imewashinda na nimeshinda vita kubwa.

Nilichoshangaa alianza kuniangalia toka napewa spana mpaka nafika kwake kwa mshangao na alikuwa hapepesi macho kabisa. Akanipa risiti akaendelea kunikazia macho natoka nageuka nyuma kumtazama nakuta yuko na mimi tu mpaka nikahisi huenda huyu binti sio binadamu wa kawaida sio rahisi kumkazia mtu macho muda wote ule bila kope kucheza, nikampotezea.

Mme wake alikuwa anamtazama mke wake kwa tabasamu fulani hivi hana habari na mimi.
Toka nimeingia na kutoka niliongea na mfanyakazi tu.
Picha niliyiopata pale ni kwamba lile duka watu wanatolewa kafara, na yule mfanyakazi anashirikiana na wale watu mwanzo mwisho. Ni neema tu ya Mungu iliniponya, ingawa huwa siondoki nyumbani bila kuomba full ulinzi wa Majeshi ya Mungu.

Na walengwa naona ni mtu anayeingia peke yake, sababu akipotea humo hakuna atakaejua. Nimeacha vielelezo vingi ambavyo nikitaja hapa kila mtu aliyepita uhuru rd ataliju hilo duka.

Sijapita tena pale ila namshukuru Mungu kwa kunipa kuniokoa. Bila Yesu pale ningeliwa nyama najiona huyu anakata paja huyu kidole, damu yangu wangekunywa juice.
Nataka niende tena pale pale kucheki kama yule jamaa pale mlangoni atanikumbuka, nitaulizia spana tena. Ila safari hii nitajipanga wakileta majini yao tena, kunidaka maana majini hayakati tamaa. nitawasambaratisha wao na majini yao,itakuwa mwisho wa biashara za majini. Itakuwa bonge la showdown.
Thank you Jesus

Matukio:2023

Ushuhuda namba. 2

Kule shambani ninakolima ni kijiji hakuna umeme na network taabu sana. Sasa nilikuwa nafuatilia kwa bidii simbank ya TCB nivute hela nilete halotel nikaitoe. Mchana kutwa napata msg server down.

Nikaamua kuamka saa nane usiku, nilifikiri muda huo server itakuwa haina jam kama mchana, nikatoka nje mita kama 60 hivi nje ya kambi yangu. Kule nyumba ziko mbalimbali sana, giza nene. Nikawasha simu janja yangu nifanye muamala ghafla mtu ambae haonekani akanigusa begani kushoto kama ananistua kitu.

Kugeuka nyuma hakuna mtu. Nikadharau nikaendelea na muamala. Hii ni Mwezi march, mwaka 2024
Au tayari ndo ushadanja[emoji23]
 
Back
Top Bottom