Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Ni Mapenzi Yake MUNGU mpaka leo hii upo, kuna nguvu ya MUNGU ilikukinga dhidi ya nguvu za giza ulipopita hapo... Oyaa hawa masela huwa hawakopeshi ukiwaona live au wakigundua umewaona au kuona mambo yao na ww sio mhusika.. au probably na ww una kinga za kijadi za huko kwenu ulisha chanjwa mkuu [emoji2][emoji2]
 
Labda kama nilichanjwa bila kuambiwa.
 
Unahisi malori ndio shida ama mlikua haunted na jini mahaba
 
Ujue watu wengi husema hakuna ushirikina,but utasena hivyo ikiwa hsujawahi kushuhudia .ila in short nguvu za Giza zipo sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatofautisha vipi usichokijua na nguvu za giza..., nadhani hii inapelekea uvivu wa fikra na kurahisisha mambo; Mababu zetu wangekuwa hivyo huenda mpaka leo tungekuwa tunakula chakula kibichi kwa kuogopa moto kwamba ni Uchawi au Mungu...
 
Mi nilimpata ajali kijijini na GARI ya mzigo kuitoa ikashindikana tukalala baada ya kunywa sana mpaka SAA Saba usiku kukawasha gari kucharge betri Isiishe Kama dka 10...tukazima tukalama...usiku nastuka taa zimewaswa full light nkazima fasta nikasema charge ishanyonywa yote...uzuri ilikuwa jino moja tu kupiga ikakubali tukaachrhe palee Ila mpango kuanzia siku hio ukawa haufungi Tena emajini tulifunga kwa ndani mbugani hapo Isaka Jana shy...ogopa NI hatari
 
Poleni sana mkuu ndiyo hivyo hii Dunia ina watu wabaya sana
 
malizia stori mbili za mwisho mkuu
 
malizia stori mbili za mwisho mkuu
Ndugu yangu, shida watu hawaamini haya mambo kama yapo hata kama nitasimuliaje.

Ila wasioamini wote wajaribu kwenda kuishi vijijini huko, na majibu watakuja kutupa hapa. Mimi nimeishi Uswahilini Dar, na nikaishi Kijijini, Usukumani huko. Kote huko niliyaona hayo mambo.
 
Mimi naamini 100%...
Nataka nijionee zaidi, usukumani maeneo ya vijiji vipi nikafanye nijionee zaidi?
 
Mimi naamini 100%...
Nataka nijionee zaidi, usukumani maeneo ya vijiji vipi nikafanye nijionee zaidi?
Mwaka 2023 nilitoka nje nikamuona chura karibu ya ukuta. Nilikuwa na mwanangu wa miaka 2. nikaona anaweza aogope, nikainama kuchukua kizibo cha chupa nimrushie aondoke. Kitendo cha kuinama, kuokota kizibo ni sekunde kama 2, nainuka chura hayupo, hakuna sehemu ya kujificha chura na kuna smenti kote. juu ya alipokiwepo kuna dirisha limefungwa halina upenyo. Nilibaki nimeduwaa. Ametowekaje? Namuuliza mtoto chura yuko wapi? Chijuiii. Hadi leo sielewi
 
Ningependa kujua ulimkosea nini hadi aseme amekusamehe? Baba alikuwa wapi kipindi hicho? Kwa nini unadhani uliwaona hao wachawi? Nguvu ya kukimbia na akakubeba unadhani aliitoa wapi? Kuna kitu ningependa kujua ambacho hujakisema na kukiweka wazi.
 
Kwenye miaka ya 2000's nikiwa kijana wa shule ya msingi, mimi na vijana wenzangu wa mtaani kipindi cha wikiendi tulikuwa tunapenda kutafuta korosho kweny eneo la jeshi X lililopo karibu na makazi yetu, bwana eeh siku hyo mida ya asbuh mishale kama saa nne hv nipo na jamaa zangu wawili jumla watatu tupo tunaangaika kutungua korosho kweny mti gafla juu ya mkorosho tukamuona kijana mmoja mwenye rika kama letu anachuma korosho, hatukujua alipanda saa ngap au tulimkuta, hvyo hatukujali tukaamua kuungana nae, kwenye huo mti tulipata san korosho siku hyo kila mtu alijaza korosho kwenye mfuko wake,kimbembe kikaja kwenye kukaanga kila korosho nikibanjua imeoza sikupata hata moja nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…