Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kuna kisa flan hv jamaa mmoja alikuwa ananisimulia ilkua hv

Jamaa alkua amemaliza chuo na Hana Kaz pili mshkaj alkuwa ka anagundu flan hv so tuliishi nae jiji la kandoro huku akitafuta rikiz nayo mie ndio nlimuunganishia japo sio professional yake ilimrad apate chochote Basi anaitwa huko kwao jamaa akaenda Sasa baada ya kurud mie majanga yakaanza Mara nagombana na mabosi wangu Mara nimegongesha gar Yan chuk zikaanza wakat mie nlikuwa n mzee wa zali Yan kila nikitokea mie n Lulu nikikosekana lazima nitafutwe Basi sikumoja baada ya Hali yangu kuwa ngumu mpaka kunilazimu kuuza nlichokuwanacho n shamba nlinunuaga huko ifakara sa sikumoja nipo nae midaa saa tano usiku tukiwa na Hali ya ulev jamaa akanipa stori kuwa Kuna kipindi alienda homekwao akaja mtaalamu kumuagua mmoja wa wagonjwa kwenye familia yao baada ya kumuagua kusudio bas wao Kama watoto ikabid waambiwe nanyie paten tiba na akafanyiwa na mwenyewe akiwemo akapewa masharti siku ukiwa unarud DSM ukifika ubungo baada ya kushuka chukua unyayo wa mtu aliefanikiwa Sasa kwa maelezo yake baada ya kufika Kuna msela akampigia simu anataka aende kumpokea jamaa akamwambia we usije na kipindi hcho kamasio yule jamaa(huyu alkua nae kamaliza chuo na Hana Raman wote nlikuwa nimewaunganishia tempo ofisin kwetu) au mm hakuna mwingine ambae alkuwa na ukaribu nae hvyo jamaa alimkatalia yule mwenzie wasikutane nae.

Jamaa aliishia hapo wote tulikaakimya kwa kipindi tusipojua nn tuongee mpaka Sasa jamaa maisha mazuri na yule jamaa ake Ila mie mzee ndo muvi haziishi hapa kwenyewe Nina majanga nipo kitandan miez mitano Sasa.

Hapa ndo najiulizaga jamaa alichukuaga unyayo nn Mana wadau wangu wote ambao walikuwa hawawezi fanya kitu bila mie wote walishakata waya nawala hawana interest hata ya kusikia tuu huyu aldeo yuwap

This time natafuta chimbo nipen Raman namie nizame huko wadau
 
Hahahah, dahh, nmecheka sanaa asee,, kwahyo mwenye pub alikuwa anawachora tuu na mapumbu yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhh!! Alisukumiziwa then hawakufukia hlo kaburi au? Uchawi bana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vip hadi leo hamna mawasiliano na watoto je!? Yeye kaolewa? Na wewe umeoa?
 
Pole sana mkuu, ndani ya hiyo miaka 9 hukuwah kutana na kisa chochote cha kukustua? Mna watoto?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee kuna kisa kimoja sitakisahau 2005 hapo nipo kidato cha kwanza.ilitokea msiba wa ndugu yangu baada ya mazishi siku hiyo tulipewa jukumu la kulinda kaburi usiku kijijini huko full migomba ya ndizi. na hiyo huwa ni mira zetu kulinda kaburi ndani ya wiki moja.tunakesha usiku kulinda kaburi mapaka asubuhi. siku ya kwanza ilipita fresh.siku ya pili aah! mida ya saa tisa kasoro tulikumbwa na vitu vya ajabu. nikaamini uchawi upo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…