uncle virus
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 124
- 289
Cash Money Forever, Duuh, hii movie au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nlikutana na vibwengo laivu bila chenga...nikiwa same secondary...aisee usiombe ukutane na Hawa jamaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh, hii movie au?
Mkuu hapo hamna fiksi tena nimefupisha sana hii storyMkuu acha fixi yani ulisubili paka kesho yake? [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa changu ilikuwa mwaka 2007 ilikuwa sumbawanga maeneo ya kizwite tulikuwa tunatengeneza matrass ya chuma sasa ikifika jioni tunatoka kwenda kula monde town sasa kulikuwa na pub moja maarufu lakin haina hamsha kbsa kuliko zingine ambazo ni lock sasa tukaona acha tukajiachie ile tunaingia tunashangaa mmliki wa ile anatukaribisha lkn anacheka sana tukaingia kula monde kula monde tukienda chooni yule mwenye pub anacheka mbaya ikafka mda wa kuondoka tukasepa kesho yake tukaanza kuwapa habari Wana kuwa kuna kiwanja kizuri lkn hkna watu c ndio tukaambiwa kuwa pale ukiingina unakuwa uchi mipango yoote inakuwa wazi maamaae tangia cku ckukanyaga kbsa sumbwanga noma sana
Hahahha sasa ujikanyage uende na videm hahaHahahah, dahh, nmecheka sanaa asee,, kwahyo mwenye pub alikuwa anawachora tuu na mapumbu yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwepo live pale.
Kichekesho ni kwamba baada ya tukio hilo, hawa jamaa walitambiana hapo hapo kila mmoja akimuhakikishia mwenzake kumkomesha kwa kumloga. Nkonkeye baada ya siku chache aliugua kikohozi alichokuwa anakohoa kwa kuunganisha hata saa nzima, Mwisho alikufa na alizikwa kwa kusukumizwa na kuanguka kwenye kaburi. Hakuna alieingia ndani ya kaburi kumzika licha ya watoto, wakamwana na wajukuu kuhusika kwenye mazishi. Ilijulikana kwamba alishasema yeyote atakayeingia kwenye kaburi siku ya kuzikwa kwake hatatoka, akimaanisha atazikwa nae. Ndonkeye alipata masaibu hayo makubwa
Vip hadi leo hamna mawasiliano na watoto je!? Yeye kaolewa? Na wewe umeoa?Nikiwa na miaka Tisa ya ndoa yangu sikuwahi dhani wala kujua wife ni mchawi maana alikuwa msomi wa juu sana na mtu wa kanisa sana.siku moja nikiwa nimelala ulivuma upepo mkali mno gafla nikiwa macho nikajikuta nanyanyuliwa juu aisee nilisali sala zote gafla nikarudishwa chini.Kuangalia pembeni yangu alipolala mwenzangu naona mbwa aisee ulikuja kama usingizi hivi sekunde wife akarudi ktk hali yake ya ubinaadamu.Kesho yake nikahama home na ndoa ikafa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuchoshi. Labda unajichosha mwenyewe kunisoma.
Nikiwa na miaka Tisa ya ndoa yangu sikuwahi dhani wala kujua wife ni mchawi maana alikuwa msomi wa juu sana na mtu wa kanisa sana.siku moja nikiwa nimelala ulivuma upepo mkali mno gafla nikiwa macho nikajikuta nanyanyuliwa juu aisee nilisali sala zote gafla nikarudishwa chini.Kuangalia pembeni yangu alipolala mwenzangu naona mbwa aisee ulikuja kama usingizi hivi sekunde wife akarudi ktk hali yake ya ubinaadamu.Kesho yake nikahama home na ndoa ikafa.
Sent using Jamii Forums mobile app